Baaba ya kuishi miaka 6 nikijihisi nna tatizo la nguvu za kiume hatimaye hali imebadilka yenyewe bila dawa yoyote

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,097
10,998
Habari zenu

Leo nimependa kuwashirikisha ushuhuda mwingine wa maisha yangu ile watu wajifunze na kuacha kutapeliwa na kujikuta wakitumia madwa kumbe hawana maradhi yoyote miilini mwao

Story yenyewe

Mwaka 2012 kipindi hicho nna miaka 20 nilikuwa na mahusiano na binti mwenye umri wa miaka (18), ni binti nliyekuwa na mahusiano nae kwa kipindi cha mda wa mwaka mmoja bila kufanya mapenzi yani alikuwa ni mpenzi wangu tu

TATIZO LILIPOANZA

Baada ya kuwa nae kwa mda mrefu bila kushiriki hilo tendo, ikanibidi kutumia akili yangu kama mwanaume kumshawishi sababu alikuwa Akinikwepa kwepa sana na mara nyingi alikuwa na visingizio kuwa hataki kupata mimba kwa mda ule hivyo alihitaji nivute subra.

Lakini mimi sikukata tamaa cuz wanawake akili zao hakuna asiyezijua kwani anaweza kukusubirisha wewe akidai kuwa ana malengo kumbe pembeni kuna mshamba nammega kimya kimya bila wewe kujua hivyo ikabidi nimlazimishe na kama hataki basi tuachane.

Ikafika siku akakubali na tukapanga kabisa eneo la tukio na mda tutakaokutana, na siku hiyo nlikuwa nimempania kweli kweli kwani hakuwahi kunipa kwa kipindi cha mwaka mzima hivyo hiyo nikaiona ni fursa kwangu kumkomesha kwani nlijua tu akishanipa skuiyo anaweza asinipe tena

Siku ikafika binti akaja Geto na nikamwandaa vizuri, huku usumbufu ukiwa mwingi sana sababu alikuwa hajazoea sex, so baada ya kuanza kumpiga mashine tu hata bao la kwanza bado nilishangaa uume wangu umelala na haukusimama tena hadi yule binti anaondoka

Nilijihisi kuchanganyikiwa kwa fedheha ya kumuacha binti mrembo na mweupe kama yule akiwa na khanga moja kitandani bila kumshuhulikia kama inavyotakiwa kushuhulikiwa ipasavyo, hivyo moja kwa moja nikaanza kujihisi kuwa nna tatizo la nguvu za kiume lakini sikuwa na uhakika

Ile hali ilinikwaza na ikanikosesha amani huku nikijihisi kuwa nimepoteza hadhi ya kuwa mwanaume na nikaona sasa kila mwanamke ntakayekuwa nae ntakuwa nasaidiwa tu

Kiukweli ile hali ilianza kunifanya nianze kuwaogopa wanawake hata kuwa na mahusiano nao kwani nlijua tu hakuna mwanamke asiyehitaji tendo la ndoa katika mahusiano, Hivyo nikajiuliza je mwanamke ntakayekuwa nae ntakidhi vipi haja zake na je akijua kuwa nna tatizo hilo ntaificha wapi sura yangu kwa aibu

Hivyo ikanibidi nitulie tu kwa masikitiko lakini cha kushangaza ilikuwa nikiwa mwenyewe bila kuwa na mwanamke karibu au nikiangalia picha za ngono uume wangu ulikuwa unasimama ipasavyo yaani ulikuwa unakaza na kuangalia juu kama mwanaume rijali anavyotakiwa kuwa

Hivyo taratibu nikaanza kujihisi kuwa nna tatizo la saikolojia na sio tatizo la nguvu za kiume, kwani uume wangu ulikuwa imara tu na hauna ulegevu wowote. Hivyo nikaanza kuisi kuwa tatizo lipo kwenye akili yangu kwani ubongo ndio huwa unaratibu kila tukio na functions za mwili hivyo kama akili yako imeathiriwa na kitu fulani huwezi fanya mambo mengine kikamilifu

Hivyo nikaanza utaratibu wa kubadilika mimi mwenyewe ili kukabiliana na hali hiyo, na hatua nlizochukua ni kuacha kuangalia picha za pono (X) na kuacha tabia ya kuwaogopa wasichana kwani tatizo lingine nlilokuwa nalo lilikuwa ni hofu hivyo ikapelekea nikikutana na mwanamke kimwili uume unashindwa kusimama sababu ya hofu.

Hivo ikanibidi nianze mazoezi madogo madogo ya kuwazoea wadada na kuanzisha mahusiano mapya lakini kila mwanamke nliyekuwa namleta chumbani tatizo liliendelea kuwa lile lile uume kugoma kusimama sababu ya uwoga, nlikuwa naishia kutokwa na jasho tu na madem wanakula hela zangu na kuniacha

Hivyo ikanibidi niachane na itikadi za kuwa na madem cz walikuwa wananipa hasara tu wakati show sipigi, Nikaamua kuendelea na maisha yangu huku nikizingatia mlo bora mazoezi na matunda kwa wingi.

Lakini baada ya kufikisha miaka 26 nilianza kuhisi mabadiliko ya ajabu mwilini mwangu yaani ilikuwa kila mschana mrembo ntakayemuona ntajikuta namtamani na uume utasimama hapo hapo, yaani mda mwingine nlikuwa nikimuona mschana tu ni lazima suruali itune hadi saa nyingine nikawa nashtukiwa na watu kuwa nimedinda

Ikafika kipindi nikahisi ni pepo la ngono lakini kumbe sio bali saikoloia yangu ilianza kubadilika yenyewe automatically bila kutumia dawa yoyote, yaani kila mschana nikawa namtamani hadi wake za watu nlikuwa nawatamani cz nlikaa miaka 6 bila kufanya mapenzi kwa hofu kuwa nna tatizo la nguvu za kiume kumbe sio

Hivyo baada ya kuona hali imekuwa ngumu niliamua kuanza kuwazoea wanawake na nkabahatika kumpata binti mmoja mrembo ambaye tulizoeana sana na kupendana sana

ITAENDELEA .......
 
its called performance anxienty. na ni tatizo la kisaikolojia unakuwa unawaza isije ikatokea kama siku ile so mawazo hasi yanazidi nguvu mawazo chanya ya kufanya mapenzi na kusimamisha dushe
 
its called performance anxienty. na ni tatizo la kisaikolojia unakuwa unawaza isije ikatokea kama siku ile so mawazo hasi yanazidi nguvu mawazo chanya ya kufanya mapenzi na kusimamisha dushe
Yeah
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom