Baa zenye pisi kali kula bata weekend

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Wakuuuu poleni na majukum,

Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali .

Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane machimbo mengine kesho ntakuwa dar wakuu.
 
Badala uulizie jinsi gani utaweza kuanzisha walau kakiwanda kadogo ka kukamua alizeti,wewe unaulizia maswala ya ngono.
Mkuu hebu tulia unywe maji ya baridi halafu uvute pumzi ndefu! Tulia kwa dakika 5.
Namna ya kuanzisha hicho kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti ameshauliza huko jukwaa husika na amejibiwa na keshaanzisha.
Huku sasa anaulizia issue nyingine nyeti katika jukwaa sahihi, kwa hiyo muache jamaa yetu yupo sahihi!
 
mwamba unaakili sana
 
Back
Top Bottom