Baa Maarufu Mkoani Kilmanjaro Yauza Nyama ya Mbwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baa Maarufu Mkoani Kilmanjaro Yauza Nyama ya Mbwa...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 23, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Kama nipesa basi Mji wa wagumu Mkoani Kilimanjaro Unaongoza kwa Mungu Onisha Sasa Hela ilipo(MOSHI).

  Polisi Mkoani kilimanjaro inashikilia wauzaji maarufu wa nyama ya mbuzi katika Baa ijulikanayo kama MAKANYAGA mitaa ya SOWETO kwa kukamatwa wakiwa wanatundika nyama ya Mbwa kama sehemu ya nyama ya mbuzi.Tukio hili limetokea jana, huku likivuta umati mkubwa wa watu.

  Ni masikitiko kwani hata mie niliyekua mgeni kwa kuoneshwa na wenyeji nilifurahia sana ile nyama ila chakusikitika sana nilikua nahisi kiu sana baada ya kula.Mashaka yangu, je namie ni miongoni mwa waliokula kitoweo cha mbwa?

  Inasemekana pia baa hii ni maarufu kwa uchomaji wa Mbuzi na mwaka jana tuu ilipata tuzo ya zawadi ya tshs 1,000,000 toka Safari lager waghamini toka TBL.

  Tukio hili linaonekana kuwakera wengi na wote wanasema nashukuru Mungu sijawahi kula pale ila nachoamini mkuki Moyoni

  Nikiripoti kutoka hapa eneo la tukio ni wenu mwanaJF HABARI ZA KITAA
  Nitarejea.

  Moshi sintorudi tena.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Walijuaje kama hizo nyama ni nyama za mbwa na si mbuzi? Walikuwepo wakati hao mbwa wanachinjwa na kuchunwa ngozi?
   
 3. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sishangai! Huko kwa wagumu mbona hilo dogo? Watu walishalihswa nyama ya mtu huko, hamkumbuki?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbwa ni kitoweo cha kawaida tu mbona china wanakula!!! Na wenzetu wa hehe wanakula mpaka leo!!!
  !!!!
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nyama ya mbwa ina shida gani ? Kumbuka kile usichkula wewe kulingana na mahali ulipokulia, wenzako wanakula. Vipi kuhusu chamaki nchanga ?
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Kwani sheria ya nchi inakataza kuuza nyama ya mbwa?
   
 7. K

  KVM JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180

  Nadhani inakataza kuwauuzia watu nyama ya mbwa ukidai ni nyama ya mbuzi.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Haya mambo ya kuchagua vyakula ndo yanaturudisha nyuma sometimes!
  We are too selective kama wachina mabo ni role model kwenye dvt wanakunguta mpaka kobe na nyoka why not us.
  Alafu twalalamika Njaa wakati hao wanyama wanarandaranda mitaaani
   
 9. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  teh teh alafu mimi ninao wanne home wamenona ao statement yako imenifanya niwatanani kama kitoweo
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hayo ni mapambano ya kibiashara kama vile coca na pepsi
   
 11. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Waaache mangi wafaidi!
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yewooooooomiiiiiiiii! Mkuu kama umekula, wewe na wote waliokula walah mtapata kichaa cha mbwa na kuanza kubweka then death is inevitable. Kimbia haraka hospitali ukapate Anti-Rabies-Vaccine, utakufa hata kama unasema hurudi moshi tena.
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  hizo ni ajirira milioni moja za kikwete.
   
 14. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Mbwa wangu wawili wamepotea tangia juzi au ndo hao waliofanywa kitoweo? ngoja niende huko soweto wakanipe hata mifupa tu nikapime DNA
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Baa nyingi za Dar sasa zinayza nyama ya Kondoo wakisingizia ni mbuzi...mbuzi gani haina ladga imepooza...tuendapo sipo kabisaaa
   
 16. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  aaaarrrrrrrggggggggg mkuu nipo moshi wiki sasa tunazulula kila jioni kwenda kula mbuzi kwenye mabaaa kumbe baa zingine wanauza dog. duh ham yote imeniisha. hata kama wengine wanakula wao ni wao mi kwangu mbwa ni kinyaaa balaaa. leo ni mwendo wa wali haragwe sitaki tena nyama hata ya kuku sitaki.
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwani mliambiwa Moshi sehemu ya KUZURURA! Mngekuwa mnatembelea Moshi tungewapokea lakini mmekuja kuzurura! Angalia sasa mnaenda mpaka Makanyaga!
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Usile nyama mwanza wala Moshi maana mie yalishanikuta
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mkuu hao wanataka kutengeneza tu habari kwa ajili ya media. Kama waliokula hawajadhurika na may be hawajalalamika tatizo liko wapi?
   
 20. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Haya wachaga wapenda hela! Kweli kila alipo mchaga kuna maendeleo.
   
Loading...