Baa la Njaa: Wazungu wanachangishana Pesa kwa ajili ya East Africa

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,660
11,677
Donation for East Africa wana Njaa

East Africa Crisis Appeal


Thank you! You're about to make a real difference to the millions of people affected by the food crisis in East Africa. The UK Government will match pound for pound the first £10 million donated by the public to the DEC East Africa Crisis Appeal.


By selecting 'Donate now', you confirm that you accept the Terms and Conditions and the DEC's use of cookies as set out in our Cookies Policy, and that you have read our Privacy Policy.

upload_2017-3-19_3-6-56.png




Zitafika hizo fwedha au changa la Macho...
 
Kama wakileta huo Msaada waambie zangu wanwekee kwenye account yangu kabisa. Naogopa yasije yalee ya Bukoba.
A/C ni tatu,bashite,bashite bashite tena ,nane NNE mpaka sita.
Ahsante
 
Sio maajabu ni marudio na ndio kawaida yetu mwafrika hana alichofanya kikanyooka!
Wenzetu wanaijua east africa kijiografia zaidi sio kisiasa. Eritrea,ethiopia,somalia na sudan pia huwa zinaingizwa especially ktk mambo ya majanga.so ukisikia east africa ni lazima uelewe ni under what perspectives.rwanda na burundi inawezekana hazijatajwa ktk baa hili
 
Ukiwa Tz ukachanga zinaenda Bukoba account ya Mwafaaa
 
Back
Top Bottom