Baa hizi zinaongoza kwa wahudumu walio simama!

Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
nakubaliana nawe kuhusu Breakpoint,mi ya mjini huwa siendi lakini ile ya Makumbusho huna napata mchemsho wa samaki pale,sasa wiki kadhaa zilizopita niliwaona wahudumu moto kabisa kuuliza nikaambiwa wako pale kwa muda ile ya town inafanyiwa marekebisho kidogo.
 
nadhani hii ni siredi maalum kwa walevi, aka: wanywaji wa kilevi, wakata maji.
Hahaha! kama wewe sio mtu wa 'yule mupe yule muruke' hapa hapakufai mkuu,wengine wala sio wahuni lakani uchangamfu na huduma nzuri ya wahudumu inaweza kuamua uwepo wako sehemu na kwa muda gani.
 
Ipo tabata bima exactly INAITWA
NYANTARE
yaani j5, alhamis na ijumaa kuna promo mtoto anakuja alafu amevaaa kanguo mpaka unaona masaburi alafu kaaajahaliwa anakuambia nunua bavaria basi alafu nikupe dhawadi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Teheteheeeeeeeeee
 
Hahaha! Hapo vichwa maji kama mimi na wewe tunaweza kununua bavaria zote ili promo iishie hapo tupate dhawadi hahaha!
 
uporoto umeua hapo!!
Pale delux magomeni kulikuwa na promo ya heinken kuna jamaa alimind moja ya wale mabinti sasa kuona saa 7 na promo haiishi akamwambia gaweni bia zilizobaki kwa wateja nalipa zote na kweli akalipa laki 2 na kuondoka nae.
 
vipi nyumbani hapakaliki nini mwenzetu?tatizo wahudumu wanakatazwa kukaa mezani kunywa na wateja zamani igongwe mwenge ilikua ruksa waiter anakaa mnakunywa huku ukijipimia oil

............Mkuu Bongolala mbona na kaa sana nyumbani.............................
 
Ha ha ha haaaaaaaaa! Duh, KK ana akili sana
nadhani lengo hapa ni kuorodheshewa hizo baa
Ili azifanyie kazi na ashafanikiwa kwa asilimia 45.(45%)
 
Ha ha ha haaaaaaaaa! Duh, KK ana akili sana
nadhani lengo hapa ni kuorodheshewa hizo baa
Ili azifanyie kazi na ashafanikiwa kwa asilimia 45.(45%)
Mkuu nafikiri nilitaka kupata wanachama ninona wapo!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom