ba in research

hanley jr

Senior Member
Feb 26, 2013
119
27
nina ndoto ya kusoma hyo course xo nahitaj mtu anayejua application ya hiyo kozi i.e atafnya kazi katika sekta zipi.ni hayo tu wakuu mchna mwema
 
mdogo wangu ebu jifunze hata kuandika vizuri ili usaidiwe mawazo kwa dhati kabisa maana hapo nilipobold sijapaelewa pia...haya labda nikuulize a'level ulifanya kozi gani?na wewe labda matamanio yako ni kuwa katika field gani?

nilisoma hge,napenda kusoma field ya mambo ya geography kama research
 
Back
Top Bottom