BA.Ed anaweza kusoma course gani?

Gini

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
398
385
Habari wana jamvi. Mtu mwenye shahada ya Elimu (BA.Ed) akitaka kusoma course ya shahada anaweza kusoma course ipi nyingine kwa kutumia vigezo vya shahada ya Elimu. Msaada
 
Sociology, Community development, Public Administration na zinginezo, Muulize Kilimsibu nini akaenda ualimu???
 
Anasoma kozi nyingine yoyote, Kuna Mwalimu wangu wa shule ya msingi sasaivi anafanya kazi Benji ya NMB, kwa hiyo inawezekana ili mradi uwe na sifa stahiki
 
Back
Top Bottom