BA-Economics ina matatzo gani katika soko la ajira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BA-Economics ina matatzo gani katika soko la ajira?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Oct 21, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wadau naomben kujuzwa hi BA-Economics ina matatizo gani katika ajira as kila mtu wangu wa karibu anae hitimu hi coz anaishia kuwa mwalimu wa uchumi?
   
 2. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  hiyo koz ni nzuri may be unaweza kuchukua muda kupata kazi bt ni nzuri sana
   
 3. Janice

  Janice Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the course is nice but jobs in tz are very few esp in private sectors, even i av fnds who r still jobless in 2 years nw!!some people take masters in economics n finance,thy become marketable aftr that!!!so if u really love bein an economist,study masters in economics n finance whl u still lookin for a potential job,though ts kinda expensive at mzumbe (more than 7m).
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Miaka nenda rudi iko juu,ila ni soko la ajira tu TZ.
   
 5. F

  FELIPE Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  tatizo sio kozi tatizo nia jaira tanzania kadiri siku zinavyoenda kila kozi inakosa market mpaka pale tutakapo fanya kitu kuwaamsha viongozi wenu wafanye kitu.
   
 6. i

  ipod Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni course nzuri wengi wanaajiriwa halmashauri kama wachumi na maafisa ushirika
   
 7. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni ajira. Ni kwanini isiitwe Bsc Economics itakuwa ina sound better internationally.
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tz wanasiasa ndio wachumi, makandarasi..etc wewe na hiyo degree yako utatoa idea gani? au unataka ilani isitekelezwe wafuate unayoyataka wewe? mipango yote ya uchumi ipo kwenye ilani
   
 9. J

  John Kangethe Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ingeitwa BSc- Economics, maana mengi yanayofundishwa huwa yamekaa ki-mathematics
   
Loading...