BA Baggage allowance

andurusan

Member
Oct 31, 2007
16
0
Wana JF

Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo ambayo yanachanganya. Kwanza wanasema uzito wa checked in laggage ni 23kg, lakini unaweza kuruhusiwa kubeba 32kg (uzito wa zamani). Simu zao za customer service ndio kabisa hamna majibu. Je hayo yaliyoandikwa kwenye website ndio ya kutarajia wakati wa ku-check in? Kama kuna yoyote amesafiri na BA siku za karibuni (toka Europe kwenda Africa) anaweza kutowa experience yake kwa hili swala tafadhali! Hii ni kupata taarifa latest kwa sababu kuna mabadiliko ya mara kwa mara kwa hili swala.
 
Afrika ipi unazungumzia? Kama ni Nigeria utapata zaidi ya 23kg kwa sanduku moja unalo-check-in.

Kama ni Bongo na unatokea UK, ni 23kg, zaidi wamekuonea huruma unapata 25kg(special accomodation).

Carry-on ni 10kg tu, tena wana vipimo vyao, mfano ni urefu kama begi la laptop, upana weka kama mara 3, na uzito uwe 10kg. Ukizidisha hapo na likishindwa kupita kwenye mashine zao, ndio basi tena.

Hope this helps. (This is as far as I know)
 
Wana JF

Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo ambayo yanachanganya. Kwanza wanasema uzito wa checked in laggage ni 23kg, lakini unaweza kuruhusiwa kubeba 32kg (uzito wa zamani). Simu zao za customer service ndio kabisa hamna majibu. Je hayo yaliyoandikwa kwenye website ndio ya kutarajia wakati wa ku-check in? Kama kuna yoyote amesafiri na BA siku za karibuni (toka Europe kwenda Africa) anaweza kutowa experience yake kwa hili swala tafadhali! Hii ni kupata taarifa latest kwa sababu kuna mabadiliko ya mara kwa mara kwa hili swala.

Kama nimekuelewa vema, jumla ya uzito wote ambao unatakiwa kusafiri nao kwa ndege za British Airways ni 46 Kg, kwa maana ya 23 mkononi na 23 checked in, lakini angalizo ni kwamba kwa mzigo wa mkononi lazima u-fit katika kipimo chao ambacho kipo ktk 'check in lounge'.
Mie nilisafiri mwezi wa nne 2008 kutoka London kuja Dar, begi la mkononi nilikuwa na 17 kg na lilitosha kabisa ktk kipimo chao, lingine ambalo lilikuwa checked in lilikuwa na 26 kg. BA sasa wanaruhusu kuwa na mabegi mawili ambayo ni checked in, ila zisizidi uzito unaoruhusiwa wa 23 kg kwa checked in bags. Na mie nilipewa mfuko wa kupunguzia baadhi ya vitu ili kukidhi mahitaji ya uzito wa begi moja pale pale kiwanjani Heathrow. Kwa hiyo nilikuwa na jumla ya mabegi matatu, kwa maana ya mawili ambayo ni checked in na moja mkononi!
Kila la kheri
 
Wana JF

Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo ambayo yanachanganya. Kwanza wanasema uzito wa checked in laggage ni 23kg, lakini unaweza kuruhusiwa kubeba 32kg (uzito wa zamani). Simu zao za customer service ndio kabisa hamna majibu. Je hayo yaliyoandikwa kwenye website ndio ya kutarajia wakati wa ku-check in? Kama kuna yoyote amesafiri na BA siku za karibuni (toka Europe kwenda Africa) anaweza kutowa experience yake kwa hili swala tafadhali! Hii ni kupata taarifa latest kwa sababu kuna mabadiliko ya mara kwa mara kwa hili swala.

Andurusan,

Kikawaida kilo unazoruhusiwa zinaandikwa kwenye ticket yako. Hii ni kutegemea na ticket yako.

Hiyo 23kgs ni maximum weight per bag. Hii ni requirement kwa ajili ya health and safety regulations hapa UK. Lengo ni kuzuia wafanyakazi kubeba
mzigo mkubwa ambao unaweza kuwavunja viuno na migongo yao.

Kwahiyo kama unaruhusiwa 100kgs basi itabidi ugawanye hiyo 100kgs kwa 23 ili kupata bags ambazo utaruhusiwa kuingia nazo.

Vinginevyo kwa Tanzania nafikiri mizigo unayoweza kusafirisha bure kwa mtu mzima ni kama hapa chini:

FIRST and Club World– 3 Bags
World Traveller Plus- 2 Bags
World Traveller – 1 Bag
Maximum dimensions per bag (H+W+L): 158cm (62in)

Angalia ticket yako iko kwenye kundi gani hapo juu, kama unaruhusiwa zaidi ya bag moja basi angalia kwenye ticket yako kujua unaruhusiwa kilo ngapi jumla. Kama unaruhusiwa bag moja tu, hapo hakuna ujanja ni 23kgs ingawaje ukizidisha kidogo watakuruhusu kutegemea na mtu unayemkuta. Usizidishe zaidi ya kilo tano, inaweza kuleta matatizo hasa kama unatoka Europe. Ukitoka TZ, hata kilo 30 zinaweza kupita.

Kwa Hand baggage info ni kama hapa chini: Inaelekea unaruhusiwa mpaka 23kgs ili mradi uzito huo unatosha kwenye bag dogo.

The following allowances apply for all passengers entering the UK or departing from London Heathrow, London Gatwick, London City, Aberdeen, Edinburgh, Glasgow, Jersey, Manchester and Newcastle:

-one standard-sized bag - maximum size of the bag must not exceed 56x45x25cm (22x17.5x9.85in) (including wheels, pockets and handles)

-In addition, one laptop sized bag, handbag or briefcase

-A 23kg(51lbs) maximum bag weight applies and you must be able to lift the bag into the overhead lockers in the aircraft cabin unaided.
 
Mtanzania, Idimu na Bi Kisura nashukuru sana kwa swala la 'baggage allowance', nitamshauri rafiki yangu kwa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom