B12 na Kennedy the Remedy wa Clouds Fm

B12 ana division 0 form four, Kennedy ni la saba failure

Sasa unategemea nin kutoka kwao
Na wewe mwenye division I-3 form six tumetegemea nini kutoka kwako?

Acha dharau mkuu, muanzisha hii thread sijaona akizungumzia hayo masuala uliyoyaleta hapa
 
B12 ana division 0 form four, Kennedy ni la saba failure
Sasa unategemea nin kutoka kwao
Hahaha we chalii bhana!!Twangala Twizzy form4 alipata Div.3 ya mwishoni apa Arusha sec.,Ila advance akapata div.2..sasa iyo Zidgi zeho duuh.!!Kuhusi Kenedy sijui
 
Sass Kama unaujua yanini uuombe pale we we unajua diamond na clouds ni tofauti
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
 
Kati ya hao wawili nani ni punga ? kwa sauti ya konki master
 
Kuisikia sauti ya diamond platnumz pale clouds FM rabda kwenye tangazo la pepsi tz mkubwa wao
 
Nimewaskia Leo tena Ghea na Jose Marah Wanamwongelea Mbosso kuhusu alichokipost baada ya Kifo cha Martha wa Cheka Tu.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom