B12 na Kennedy the Remedy wa Clouds Fm

Binafsi siujui but kwenye swala la kawaida haiwezekani MTU anayefanya kazi kwenye industry ya mziki asijue wimbo unaotrend number 1 YouTube!!! Hii ni sawa na DAKTARI tena MD asijue UTI
madaktari waliosoma urusi huwa wanarudi hata malaria na kipindupindu hawajui sembuse UTI??Kwanza kenedy the remediiii ndio baharia gani tena 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwani hujui BIFU lililopo kati ya CLOUDS na Wasafi? Kama hujui jielimishe, pole sana!
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
 
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
Mimi binafsi siujui japo unasema una trend youtube na mtaani, sababu zako mbili hazimaanishi ndio silaha ya kila mmoja kuujua wimbo.
 
Chaliangu unakuja kuwaje apa town asee!!Wimbo wanaujua ila walijua mskilizaji kaomba ule Yope Original wa Enoss B mwenyewe ambao sio remix ambao Chibu yumo,Ila walipoona ft Mond coz wana bifu na Mond ndo wakajidai hawaujui..Yope rmx ni kisanganga ili Dude Ariff.!!
 
Kama kweli wimbo.huo.umeombwa then wakasema hawaujui thats unprofessional.. hii taaluma ya utangazaji imekosa weledi siku hizi yaani mtu anaingia studio then cha kuongea anaamua mwenyewe ! Kila mtangazaji anataka kupiga kelele studio dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom