B.Sc Economics vs B.A. Economics

PATIENCE PB

Senior Member
Apr 3, 2014
163
37
Wanajamvi ni kipi bora kati ya B.Sc. Economics ya MZUMBE na B.A.Economics ya UDSM.na kwanini?na zinatofautiana vipi?
Asanteni!!
 
Mkuu jaribu kufungua website za udsm na mzumbe uone kila kozi ina masomo gani yanayofundishwa, lazima kutakuwa na kajiutofauti
 
Wanajamvi ni kipi bora kati ya B.Sc. Economics ya MZUMBE na B.A.Economics ya UDSM.na kwanini?na zinatofautiana vipi?
Asanteni!!
Arts and science are just awards. Lakini somo la uchumi karibia asilimia 80 ni nadharia kwahiyo ukisoma udsm au mzumbe hizo nadharia lazima uzisome even hata usome havard nadharia za uchumi ni zile zile. Iliyobakia ni application ambapo hapo ndo kunakautofauti kadogo but all in all zote ni sawa tuu.
 
Back
Top Bottom