B.accountancy vs bachelor of accounting and transport finance

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Habari wadau, bachelor degree in accounting and transport finance ni course inayopatikana NIT, sasa nauliza INA utofauti gan Na bachelor of accountancy inayotolewa Na vyuo vingine hap Tanzania.
 
Habar wadau,bachelor degree in accounting and transport finance ni course inayopatikana nit,sasa nauliza INA utofauti gan Na bachelor of accountancy inayotolewa Na vyuo vingine hap Tz.
Please don't go NIT, i beg you.
 
Habari wadau, bachelor degree in accounting and transport finance ni course inayopatikana NIT, sasa nauliza INA utofauti gan Na bachelor of accountancy inayotolewa Na vyuo vingine hap Tanzania.
Coz yako ina matter kwny transport sectors . Bach of Account ina matter general environment. ingawa content ni same kwa 90% .hyo ya nit ina logistics transactions na ni complicated sana na haina soko.

Sasa jifanye jeuri ukasome hapo nit. Suruali zitakutobokea ukiwa kwa mzazi. Baada ya kumaliza chuo

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Hao wanaokushaur usome nit. Hawajui walisemalo. Kijana shtuka mapema. Nenda TIA kuna coz inaitwa bacherol of public sector accounting and finance ni nzuri na inasoko au IFM na IAA arusha.kuliko hapo kama hauna mtu wa kukushika mkono mbeleni.

ushaur mzuri sana
 
ukweli usiopingika si mshauri mtu asome hiki chuo na sijuh kwanini wameshindwa kukizuia kisidahili hawa TCU nao majipu..
Kile chuo ilipasa kiachiwe madereva tu, msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Haya makozi mengine shida tupu pale.
 
Kile chuo ilipasa kiachiwe madereva tu, msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Haya makozi mengine shida tupu pale.
ubabe mwing na mkuu mwnyew anashangaa kwa nini kinatoa degree badala ya diploma na certificate...
 
Sawa jmn,lkn mimi nilitaka kujua hasa utofauti kati ya hzo coz,suala la mazingira sio target
 
Back
Top Bottom