Aziniye na mwanamke hana akili kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia

Mithali 6:32

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA;AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE AITAFUTIKA

MMH JAMANI WALE BEBA BEBA TUSHTUKE KIDOGO ;

MENGINE MENGI TUTAAMBIANA
 
kwa hiyo wale wanaobaka mbuzi.....?!HAWANA DHAMBI SIYO?
 
Mwanahalisi,

...iliandikwa pia katika verse mojapo "kila mtu amtizamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwishazini naye moyoni". Ukichukua hii verse ukai mix na yakwako, inamaanisha kuwa watu wengi hawana akili kabisa.
 
Habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia

Mithali 6:32

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA;AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE AITAFUTIKA

MMH JAMANI WALE BEBA BEBA TUSHTUKE KIDOGO ;

MENGINE MENGI TUTAAMBIANA

Haya ni ya kweli lakini binadamu siku hizi hawamuogopi mungu na maandiko kwao hayana maana.

Ndio maana chochote kisicho cha haki au halali kinakua dili
 
habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia

mithali 6:32

mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake aitafutika

mmh jamani wale beba beba tushtuke kidogo ;

mengine mengi tutaambiana

kitabu cha mithali kimeandikwa na mfalme suleiman anaaminika kuwa alikuwa na hekima za hali ya juu, hamna mtu amewahi kutokea mwenye hekima za kwake tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Yeye alikuwa na wanawake zaidi ya elfu moja, na alimuua jemedari wake ili amuoe mke wake.
Hapo kaka pambanua mwenyewe.
 
it looks like hujui zinaa ni nini!....
 
haya ni ya kweli lakini binadamu siku hizi hawamuogopi mungu na maandiko kwao hayana maana.

Ndio maana chochote kisicho cha haki au halali kinakua dili

ni kweli kabisa mkuu lakini mungu akikupa uwezo wa ufahamu hakuna budi kuwafumbua wengine,ugunduzi ndicho kitu sahihi
ndio maana utaona hata wale wanaokuja makanisani waliopenya ni wale ambao wamegundua wamejua umuhimu wa kumtafuta mungu unaweza ukazini ukaombewa na mchungaji ukazini tena ukaombewa zaidi ya mara mia na wachngaji tofauti;kama ukugundua una tatizo la dhambi ya uzinzi hata aje papa benedict alitakutoka,mwombe mungu atupe roho ya utambuzi na roho ya kuchukia dhambi kaka
nimeona tusaidiane kwa hili hii dhambi ya uzinzi inawatafuna makanisa mengi sana mengi sana na wakati mwingine hata wachungaji walioaminika miaaka kenda;nilikuwa na mama yangu mdogo mmoja alipoolewa aikukaa miezi sita vita;nikamjulisha mama mdogo we unamjua mungu unajua kuna roho ya visasi kwenye bible
watu wengi familia nyingi zinateswa na kitu kinaitwa familly tree,yawezekana babu wa babu yako alikuwa mzinzi,mwizi,tapeli kupindikia we ukaja kumrithi ilaa wazazi wako awakukueleza hili;hiyo ni family tree jitoe huko kwenye ukoo achana na laana za familia mwambie mungu akupe ugunduzi utapenya na kazi zote utakazofanya
kama una amini iwe kwako in jesus name
 
Biblia inasema

watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa;si lazima uwe na elimu ya mastas piehdi uwezew kupata maarifa;ukiwa na maarifa ya mungu hata leo wa phd wanateseka sababu ya kukosa maarifa;praise the lord
 
NDOA NYINGI ZINAZOTESEKA NI ZA WASOMI;WATOTONWANALALAL GOROFA YA TATU BABA YA PILI MAMA CHINI;HUU NI UPUNGUFU WA UFAHAMU UNAPOSOMA HILI Aitakuwa kwako in jesus name say amen if u blv this
 
kitabu cha mithali kimeandikwa na mfalme suleiman anaaminika kuwa alikuwa na hekima za hali ya juu, hamna mtu amewahi kutokea mwenye hekima za kwake tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Yeye alikuwa na wanawake zaidi ya elfu moja, na alimuua jemedari wake ili amuoe mke wake.
Hapo kaka pambanua mwenyewe.
Nope! aliyeua jemedari sio Sulemani, ni baba yake (Daudi) tena huyo alokuwa mke wa Jemedari ndo akaja kumzaa Sulemani
 
Mkuu Bujibuji unachanganya Mfalme Daudi yeye ndiye aliyeua jemadari wake sio Suleman,samahani nilikuwa naweka sawa,watu wengine hawasomi biblia wasije qoute vibaya.amani iwe nawe
 
habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia

mithali 6:32

mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake aitafutika

mmh jamani wale beba beba tushtuke kidogo ;

mengine mengi tutaambiana
Naona neno hili la biblia lina mlenga zaidi mwanaume kuwa hana akili ambayo sio sahihi, wote mwanamke na mwanaume wazinifu hawana akili. Ingekuwa sahihi kama lingesomeka hivi" mtu aziniye na mwanamke au mwanaume hana akili kabisa"...................
 
Nope! aliyeua jemedari sio Sulemani, ni baba yake (Daudi) tena huyo alokuwa mke wa Jemedari ndo akaja kumzaa Sulemani

sULEMANI ALIMUUA KAKA YAKE AITWAE ADONIA KWA SABABU ADONIA ALITAKA AMWOE MWANAMKE BINTI MREMBO MSHUNAMI ALIYEKUWA AKIMTUNZA MZEE DAUDI SIKU ZAKE MWISHONI KABLA HAJAFA.
 
Naona neno hili la biblia lina mlenga zaidi mwanaume kuwa hana akili ambayo sio sahihi, wote mwanamke na mwanaume wazinifu hawana akili. Ingekuwa sahihi kama lingesomeka hivi" mtu aziniye na mwanamke au mwanaume hana akili kabisa"...................

vIPI KUHUSU MTU aziniye na msichana au mvulana???
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom