Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wewe nawe maiti ina "flow of blood and water." ?
Nakubaliana na Gavana, walimdhania kafa.
Mi nanunua sana nyama katika mabucha kila siku zikiwa na damu inayochurizika.Bandama lenyewe ukiliminya linabadilika kuwa damu achilia mbali maini.Maji yapo ktk utumbo mkubwa.Pia ujue Yesu alipewa siki alipoomba maji nayo inabadili tabia ya damu.Joto la middle east na kizoezi alichopewa miwli ulichukua masaa mengi kupoa.
Waulize wanya pombe wakikatwa mwili damu inavyochelewa ganda.Seems utaihsia kuwa Mkristu.