Azimio langu la kuwa na zaidi ya mke mmoja

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
673
1,082
Nilishawahi kuandika kuwa pindi uchumi wangu ukiimarika ntaongeza idadi ya wanawake... Kwa uchumi wa kawaida tu nimeshakuwa na wake watatu, warembo sana akiwemo mke wangu wa ndoa. Maana mie ni mkristo, nimefunga ndoa na mmoja tu.

Nimegundua kumbe wanawake hawahitaji pesa ila uhakika wa mwanaume wa kuishi nae. Bahati nzuri wangu wote ni wafanyakazi wa serikali. Nahitaji niongeze wengine wazuri wawili, lengo ni kuwa na watoto wengi sana na pia kupunguza idadi ya wanawake wasio na wanaume wa kuoa.

Mke wangu wa ndoa ana watoto 2... huyu mpya ana mimba ya miezi 3... mmoja nae anasema hajaona siku mwezi huu, nadhani mambo sio mabaya. Maana wasichana warembo ni wengi sana mtaani.

Pia wamenifanya sichepuki siku hizi, nina zaidi ya mwaka na sitamani ovyo.... nimechagua wazuri. Tusaidiane kuwa na wake zaidi ya mmoja jamani, uwezo tunao
 
Nyie ndo mnaotusumbuaga mkishakufa, mnaleta kizaz cha chuki hapa dunian, wakat ww umeishi kwa raha kwann usiwape fursa hyo kizaz chako? siku ya msiba watoto wa nje kibao waanze kugombea kijumba kimoja, matokeo yake chuki za kudumu kwenye familia, mxiuuuuu.
 
Kuwamiliki ni kipaji na sanaa ya hali ya juu. Kama ubongo wako hauwezi kutengeneza relation ya aina hii usijaribu... ndo yatakuwa yaleyale anayosema [HASHTAG]#Greener[/HASHTAG]. Unatakiwa ujue na ucheze na akili za wanawake
 
Nilishawahi kuandika kuwa pindi uchumi wangu ukiimarika ntaongeza idadi ya wanawake... Kwa uchumi wa kawaida tu nimeshakuwa na wake watatu, warembo sana akiwemo mke wangu wa ndoa. Maana mie ni mkristo, nimefunga ndoa na mmoja tu. Nimegundua kumbe wanawake hawahitaji pesa ila uhakika wa mwanaume wa kuishi nae. Bahati nzuri wangu wote ni wafanyakazi wa serikali. Nahitaji niongeze wengine wazuri wawili, lengo ni kuwa na watoto wengi sana na pia kupunguza idadi ya wanawake wasio na wanaume wa kuoa. Mke wangu wa ndoa ana watoto 2... huyu mpya ana mimba ya miezi 3... mmoja nae anasema hajaona siku mwezi huu, nadhani mambo sio mabaya. Maana wasichana warembo ni wengi sana mtaani. Pia wamenifanya sichepuki siku hizi, nina zaidi ya mwaka na sitamani ovyo.... nimechagua wazuri. Tusaidiane kuwa na wake zaidi ya mmoja jamani, uwezo tunao
Pokea hongera zangu Mkuu,asante sana kwa kuwaondolea upweke Dada zetu hata mimi pia nimevutiwa na hii falsafa yako naamini kabisa nitafuata nyayo zako,inshallah.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Unauhakika wa kuwatunza hao watoto mkuu?

Utaandaa kizazi cha chuki maana watoto tulioshare baba huwaga hatupendani

Itakucost siku za usoni
 
Thank God TV1 wanaonesha kombe la mabara; nacho jiuliza ni hiki; ni kwanini Ronaldo akiwa taifa hapafomu sana kama akiwaga Real Madrid? Yaani jana Warusi walimpoteza kabisa aise.
 
Unauhakika wa kuwatunza hao watoto mkuu?

Utaandaa kizazi cha chuki maana watoto tulioshare baba huwaga hatupendani

Itakucost siku za usoni
ina tegemea mbona wengine wana pendana wana mapenzi ya kweli brothers an sisters, kikubwa malezi na upendo utawale kwenye nyumba. kwa watoto wote na wake wote. kuna movie ime base kwenye true story, baba mwanajeshi mama wakaida kazi zake wakaja kukutana baba ana watoto wake sita mama nae ana watoto wake tano jumla kumi na moja waote waliishi vizuri kama wa tumbo moja na uwezi amini. issue ni malezi.
 
Nilishawahi kuandika kuwa pindi uchumi wangu ukiimarika ntaongeza idadi ya wanawake... Kwa uchumi wa kawaida tu nimeshakuwa na wake watatu, warembo sana akiwemo mke wangu wa ndoa. Maana mie ni mkristo, nimefunga ndoa na mmoja tu. Nimegundua kumbe wanawake hawahitaji pesa ila uhakika wa mwanaume wa kuishi nae. Bahati nzuri wangu wote ni wafanyakazi wa serikali. Nahitaji niongeze wengine wazuri wawili, lengo ni kuwa na watoto wengi sana na pia kupunguza idadi ya wanawake wasio na wanaume wa kuoa. Mke wangu wa ndoa ana watoto 2... huyu mpya ana mimba ya miezi 3... mmoja nae anasema hajaona siku mwezi huu, nadhani mambo sio mabaya. Maana wasichana warembo ni wengi sana mtaani. Pia wamenifanya sichepuki siku hizi, nina zaidi ya mwaka na sitamani ovyo.... nimechagua wazuri. Tusaidiane kuwa na wake zaidi ya mmoja jamani, uwezo tunao
dah Mungu atufanyie uwepesi, mmoja kweli shida macho yana kutoka toka mtu, ila wako wawili watatu roho inatulia hata wanne
 
Back
Top Bottom