Azimio la masomo darasa la III mpaka la VII msaada kwa mwenye nayo

jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
3,615
4,389
Salamu, kwa msaada Mwalimu yeyote mwenye PDF ya maazimio ya masomo kwa mwaka huu naomba. Kama upo nao au unajua namna ya kuupata, naomba kusaidiana katika hilo

Nawasilisha.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa si mpaka uwe na hiyo doc actually sio lazma uwe katika format hiyo hata word sawa
Sijui ni kama hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
1547841010771.png
 
Back
Top Bottom