Mkwaruu Kombo-Tapa
Member
- Aug 1, 2020
- 62
- 60
Mlinzi wa Amani duniani.Uchaguzi mkuu wetu unamuhusu kivipi huyu Mmarekani? Mbona unamuwashawasha? Mbona sisi uchaguzi mkuu wa Wamerika huwa hautuwashi? Jee ana mirija yake humu nchini kwetu?
Mlinzi wa Amani duniani.Uchaguzi mkuu wetu unamuhusu kivipi huyu Mmarekani? Mbona unamuwashawasha? Mbona sisi uchaguzi mkuu wa Wamerika huwa hautuwashi? Jee ana mirija yake humu nchini kwetu?
Hata Chifu Mangungo alipokuwa akimsikiliza Karl Peters alifikiria kama wewe ..hivi hivi.. Na aliuona wema wa Mjerumani kama wewe leo unavyouona wa Mmarekani.Kama wamesema jambo jema tusifurahie, hebu mataga jaribuni kutumia akili. Imagine mama yako akitekwa Marekani wakilaaani utapinga tu kwa kuwa ni wa marekani?
Hivi niulize tuu, mauaji yote na utekaji unaotokea Marekani kila kuchwao unafanywa rais????? Na kwanini wameshindwa kuzuia mauaji ya watu wasiopungua 100 wanaouuwa kwa risasi kila siku???Haya maneno ya USA siyapendi. Walete USS Ronald Reagan mwabao wa bahari ya Hindi kama itatokea dhuluma ya kuiba kura wamtandike mtu. Haya maneno dictators never heed to words! 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪
View attachment 1573606
Jamani mimi ni Mzalendo, siyo kuwa nataka nchi yangu ishambuliwe hapana, ila Kiongozi akianza kuwaua watu wake, akija jirani tutamuomba msaada tusiuawe! Ni hilo tu. Ben Saanane yuko wapi? Azory Gwanda yuko wapi? Tumwombe jirani atusaidie kuwatafuta!
Mbwa umjue jina.. utafurahia..Hivi niulize tuu, mauaji yote na utekaji unaotokea Marekani kila kuchwao unafanywa rais????? Na kwanini wameshindwa kuzuia mauaji ya watu wasiopungua 100 wanaouuwa kwa risasi kila siku???
View attachment 1574145
Nyani haoni kundule - wahenga
Mbwa umjue jina.. utafurahia..
Na mabwanyenye (USA) wametujua jina kweli.. USA nyenyenyee na sisi tunaitikia mapambio kama mazwazwa..
Imagine watu huru kabisa wenye taifa huru wanafurahi kudharauliwa kupangiwa wafanye nini...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Udikteta apeleke chatoMwaka huu ni wenu Lissu siyo Lowassa atasema tumwachie Mungu, Magufuli ajiandae kufunguliwa kesi nyingi za ndani na za nje.
USA washindwe na walegee hapa kazi tu! Tanzania ni nchi huru na uzuri wa mwaka huu hakuna kimburu yoyote yule ambaye atajidai amechangia uchaguzi wetu. Tanzania tunajitegemea wakae na fedha zao sisi tutakaa na amani yetu na msimamo wetu wa kutofungamana na nchi yoyote. Heko JPM hapa Kazi tu!Haalafu kwani uchaguzi wa Marekani ni huru na haki waje kutufundisha jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu? Angalia wanavyofanya iwe ngumu kwa watu wasiokuwa weupe kupiga kura, halafu eti nao waje waimbie Tanzania jinsi ya kuendesha uchaguzi wao!!!!!
Inafikirisha sana! Unaweza kukuta ni laana tu.Kuna watu bora wangekosa elimu ya darasani na hata wasiijue ile inglishi wanayotumia kuisaliti nchi wakabaki kwenye jamii wakizalisha mali, kuliko kugharamiwa na taifa kupata elimu na sasa kuitumia hiyo elimu kuturudisha utumwani
Wamekwenda shule lakini hawakusoma. Sasa hivi uzuri ni kwamba yale mambo ya kukinga bakuli hakuna tena tupo huru hakuna kupepesa macho, hapa kazi tu!Hivi Tanzania inaweza andika bill kama hiyo kuhusu swala la uchaguzi wa Marekani? Kwanini wanataka ingilia mambo ya ndani ya Tanzania na Watanzania wanashangilia. Untill when mtaacha nchi za nje ziwaamulie mambo yenu ya ndani. Amkeni
Si mlijiandaa kupora uchaguzi wa mwaka huu eeeh??? Sasa mwanaume anawapumulia huyo!! Mtajua hamjui mwaka huu😂😂😂Wamekwenda shule lakini hawakusoma. Sasa hivi uzuri ni kwamba yale mambo ya kukinga bakuli hakuna tena tupo huru hakuna kupepesa macho kazi tu!
Nani alimchagua kuwa mlinzi wa amani duniani? Au alijichagua mwenyewe?Mlinzi wa Amani duniani.
nadhani wewe unaiabudu marekani tu; wao mwaka huu Sisi tuna uchaguzi wetu October 28, nao wana uchaguzi wao November 3, yaani ndani ya wiki moja tu. Wakati tuko hatihati nao wako hatihati tena hati hati sana. Congress nzima ya marekani iko kwenye balloti, trais yuko kwenye ballot, ni maseneta 65 tu ndio hawagombei. Kwa hiyo wao wenyewe wana joto kubwa sana la uchaguzi na wanahanganika kuwa watainghiliwa na urusi tena. Wasikusumbue akili, wanaandika tu. tena hiyo House resolution haikwenda hata senate wala kwa rais bali ni resolution ya bunge tu.Si mlijiandaa kupora uchaguzi wa mwaka huu eeeh??? Sasa mwanaume anawapumulia huyo!! Mtajua hamjui mwaka huu😂😂😂
Jidanganye tu. Unafikiri bunge la Ndugai lile??? Yajayo yanafurahishanadhani wewe unaiabudu marekani tu; wao mwaka huu Sisi tuna uchaguzi wetu October 28, nao wana uchaguzi wao November 3, yaani ndani ya wiki moja tu. Wakati tuko hatihati nao wako hatihati tena hati hati sana. Congress nzima ya marekani iko kwenye balloti, trais yuko kwenye ballot, ni maseneta 65 tu ndio hawagombei. Kwa hiyo wao wenyewe wana joto kubwa sana la uchaguzi na wanahanganika kuwa watainghiliwa na urusi tena. Wasikusumbue akili, wanaandika tu. tena hiyo House resolution haikwenda hata senate wala kwa rais bali ni resolution ya bunge tu.
Mimi naishi marekani na naijua marekani vizuri sana; unayeisikia kwa mbali ndiye unyejifariji na hiyo HR.Jidanganye tu. Unafikiri bunge la Ndugai lile??? Yajayo yanafurahisha
Unaweza kuwa unaishi ila uijui vizuri!! Hujui Jiwe wenu kawachokonoaje hawa watu na this time sidhani kama watamuacha maana wanemstahi sana!!Mimi naishi marekani na naijua marekani vizuri sana; unayeisikia kwa mbali ndiye unyejifariji na hiyo HR.
Wewe nawe utakuwa ni mweupe kabisa; kama magufuli kawachokonoa kwa kuwazuia kutuibia, sasa wewe hilo linakuuma? Unadhani Marekani ni mjomba wako wewe? Rais Donald Trump anaita nchi zote za kiafrika ni Ass-hole halafu wewe unaachekelea kuwa hao ndio wajomba wa kukutetetea? trump alisema hakuna mtu mweuzi anayetawala nchi ikaendelea, na wewe unasema huyo ndiyo mwungwana. Kwani Lissu siyo mweusi? Siyo Ass-hole?Unaweza kuwa unaishi ila uijui vizuri!! Hujui Jiwe wenu kawachokonoaje hawa watu na this time sidhani kama watamuacha maana wanemstahi sana!!
Walikuwa wanatuibia nini???Wewe nawe utakuwa ni mweupe kabisa; kama magufuli kawachokonoa kwa kuwazuia kutuibia, sasa wewe hilo linakuuma? Unadhani Marekani ni mjomba wako wewe? Rais Donald Trump anaita nchi zote za kiafrika ni Ass-hole halafu wewe unaachekelea kuwa hao ndio wajomba wa kukutetetea? trump alisema hakuna mtu mweuzi anayetawala nchi ikaendelea, na wewe unasema huyo ndiyo mwungwana. Kwani Lissu siyo mweusi? Siyo Ass-hole?
Bure kabisa wewe;