Azimio la.bunge juu ya maisha ya Mandela live ndani ya bunge

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Bunge limeanza asubuhi kwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, mh.Lowassa kuwasilisha Azimio la bunge la kutambua mchango wa mzee Mandela.

Mjadala unaendelea kwa wabunge kuelezea sifa mbalimbali za marehemu Mandela.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom