Azimio la Arusha: Kwanini shule za Seminari hazikutaifishwa?

Na inabidi wamshukuru sana Nyerere kwa kuzitaifisha zile shule.. Maana wao yao ilikuwa TAMBAZA tu iliyotaifishwa... Vinginevyo gepu la kielimu lingekuwa zaidi ya ilivyo sasa...

HAPA tu wanahangaika na Islamic banking badala ya kuanzisha bank zao... Chuo kikuu ni kimoja kile cha Morogoro ambacho Mkapa aliwapa... YAANI WASHUKURU SANA NYERERE
Wanamtukana sana baadhi yao.
 
Wadau msaada wa sababu ya kutotaifisha
ZILITAIFISHWA MKUU, MFANO NI TABORA BOYS YA SASA, PUGU, NK, KUNA AMBAZO MOJAKWA MOJA ZILIKUWA HAZIHUSIANI NA KUTOA ELIMU DUNIA HIZI SERIKALI ILIKOSA MBINU YA KUZICHUKUA, MFANO MAUA, ST JAMES, SALVATORIAN HIZI ZILIKUWA ZINAFUNDISHA MAPADRE TU!
 
Zikitaifishwa vizuri tu
Pugu
Kwiro
Tosamaganga
Ni mifano tu
achilia mbali hospitali na vyuo na vingine vilitaifishwa na nyerere kutoka kwa wakristu na mkapa akaja wasawadia waislamu, mfano chuo cha tanesco morogoro sasa ni MUM
 
Nadhani mleta Mada umeshapata baadhi ya majina ya shule zilizotaifishwa wakati wa azimio la Arusha shule Kama Nganza,Tosamaganga,pugu,Nsumba,Milambo na nyingine nyingi tu zilikuwa za kanisa katoriki.
TUMSAMEHE BURE, MWALIMU WAKE WA MADRASA ANAMLISHA TANGO PORI
 
Seminary maana yake ni kitabu. Seminary za kanisa katoliki ni kwa ajiri ya kuwaandaa mapadre wa baadae. Kwahiyo seminary zinaleaa miito ya watoto. Ndio maana kuna seminary ndogo(junior seminaries) hizi kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita, na kuna seminaries kubwa, hizi ni kwa ajiri ya masomo ya falsafa, theology ect
Rekebisha kidogo hapo juu kitabu
Sahihi ni kitalu

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi.

Swali ni kwamba kwanini Shule za Seminari hazikutaifishwa?
Siku nyingine fanya utafiti kidogo usikurupuke kuleta uzi tu.

Moja ya shule niliyosoma mimi St. Francis ya mbeya ilitaifishwa 1969.
Shule ilikuwa na boarding na masomo yote kuanzia pre primary kwa lugha ya malkia eliza, kasoro kiswahili, baada ya kutaifishwa ikaiitwa Muungano.
Baada ya miaka mingi tena Azimio kufeli na serikali kushindwa kuziendesha shule katika kiwango kile kile zilirudishwa tena kwa wamiliki wa mwanzo. Hivyo jina Muungano likaondoka ikarudi hii St. Francis ambayo sasa naona imekuwa ya watoto wa kike ila kiwango cha ufaulu kiko juu kama mwanzo.
 
SHULE ILIRUDI BAADA YA MKAPA KUWAPA WAISLAMU CHUO CHA TANESCO MOROGORO KILICHOKUWA KIMEJENGWA NA ANGLICAN KAMA SIJAKOSEA
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi.

Swali ni kwamba kwanini Shule za Seminari hazikutaifishwa?
Baadhi zilitaifishwa.
 
Vipi kuhusu mwembeni, mwisenge na kowak girls za mkoani Mara jimbo katoliki Musoma?
 
M

Mimi mbona sikuelewi? Unamaanisha nini unaposema Seminari hazikutaifishwa? Pugu Sec kuitwa St. Pius Seminary, Tabora Boys ikiitwa St. Mary's Seminari n.k
Nadhani Milambo high school ndiyo iliyokuwa ikiitwa St Mary pale Tabora Manispaa kabla ya kutaifishwa wakati ule.
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi.

Swali ni kwamba kwanini Shule za Seminari

Mtoa mada amesikia mambo kwenye mihadhara anayabeba kama yalivyo
Basi ameingizwa chaka sana.
Mtoa mada amesikia mambo kwenye mihadhara anayabeba kama yalivyo
Du jinga sana. Sasa amegundua ameingizwa cha kike sijui anajisikiaje amuamini mwalimu wake au data alizopata hapa, naona ataanza kuchanganyikiwa kwamba kumbe wale mabwana nao longolongo !!!
Nilisoma Mazengo nasikia ilikuwa ya Anglikana zamani.
 
Back
Top Bottom