Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Mwenyekiti wa chama chako ni Afisa wa serikali...

Lissu kafungiwa kashindwa kutoa tamko kali.

Waumini mko bize kutukana mitandaoni

Viva Magu 2020 to 2030
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

Viva Magu 2020 to 2030
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
unavyouona huu uchaguzi unaenda kuwa uchaguzi huru na wa haki?tume inavyo tenda mambo yake unadhani unadhani kutakuwa na uchaguzi huru?
 
Kwanza wenyewe Uchaguzi hauwi huru na haki, Mbona Krintoni aliongoza kura harafu akatangazwa Trump waachaane na cc. Wanaviolete Demokrasia harafu wanataka watudundishe Demokrasia

Kwakua umeshaona kwamba,kwa namna yoyote ile uchaguzi hauwezi kuwa wa haki,unashauri je sasa.
 
Kwanza wenyewe Uchaguzi hauwi huru na haki, Mbona Krintoni aliongoza kura harafu akatangazwa Trump waachaane na cc. Wanaviolete Demokrasia harafu wanataka watudundishe Demokrasia
USA haipo tayari kuongozwa na jinsia isiyo ya kiume thus obama na trump walipewa.Ila kipindi cha pili trump arudi
 
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.

Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.

Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??

Pathetic.
We are tired of being colonised by ccm.. Hiki kikundi ni kiovu kuliko hata wakoloni weupe wa mwanzo
 
Only a colonised mind will cheer for such things
The enemy of your enemy is your friend..

Kwa jinsi utawala huu ulivyoonea wananchi, wacha US watukwamue Kama tulivyowakwamua waganda kutoka kwa iddi Amin Dada na genge lake miaka ile. Jeshi letu lilipata ushirikiano mkubwa toka kwa umma wa waganda waliokuwa wameonewa sana
 
Samahani Dada yangu,unakifahamu ulichokiandka?
Ipo hivi;
Baada ya vita vikuu vya pili vya Dunia (WWII) Marekani iliibuka kama Metropolitan Nation/Country (hii maana yake ni kuwa Marekani iliibuka kama Super Power/Taifa lenye nguvu zaidi Duniani)

Sifa hii ikaipa Nchi ya Marekani nafasi ya kuwa 'The Police of the world' (rejea majukumu ya askari polisi ambayo ni kulinda raia na mali zao/kumkamata mhalifu,kukusanya ushahidi na kuuwasilisha mahakamani kwaajili ya hukumu)

Ukileta ujeuri nitakuletea sababu zilizolifanya Taifa la Marekani kuwa 'The world's Super Power'
CCM lazma mkubali kuwa uchaguzi huu hamtoboi Ozone Layer!
Wabheja Mayo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo hapa tunawakilisha, UVCCM tupo wengi sana, wakija wote utakuwa ni uonevu kwa huu moto.
Wengine inabidi wabakie kwenye maeneo yao ili waweze kuwashawishi UFIPA wamchague JPM waachane na YUDA.
 
Tupo hapa tunawakilisha, UVCCM tupo wengi sana, wakija wote utakuwa ni uonevu kwa huu moto.
Wengine inabidi wabakie kwenye maeneo yao ili waweze kuwashawishi UFIPA wamchague JPM waachane na YUDA.
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo hapa, now tunakula kwanza then kazi iendelee coz ili kupambana na moto lazima uwe na energy ya kutosha.
UFIPA njooni tusaidiane coz hii inchi niyetu wote.
 
Back
Top Bottom