Azim Dewji: Kosa tulilofanya ni kwenda kumchukua MO bila ulinzi lakini Mungu alikuwa upande wetu

kuna vijana humu wanataka tuwaamini wao zaidi kuliko mtekwaji.
Aisee. Kama kusoma huwezi hata picha huoni?. Hakuna mwenye ukakika hapa lakini kinachojadiliwa ni mazingira ya tukio. Uzalendo siyo kusifia tu ili mradi mkono wako unakwenda kinywani. Tumia ubongo wako
 
Naona ukweli unaujua wewe ambae hukutekwa wala kuhusishwa, mnakuwa vichaa bavichaa.
Hili ndilo tatizo la watanzania. Badala ya kuchambua hoja ya mtu mawazo yao wanapeleka kwenye vyama. Yaani sisi sijui timelaaniwa na nani?. Pole ndugu yangu na wewe siyo wewe, umefanywa kuwa wewe.
 
Kila kitu kipo wazi....Safari nyingine akina Sirro wakitaka kucheza movie waombe starring toka Hollywood siyo Nollywood au Bollywood. Yaani tunafanywa wajinga kiasi hiki...Hiyo tofauti ni dhahiri, hiyo picha ya SISI Tv ya nchi gani isiyoonyesha gari likitembea na faded picture/ Infrared/ time kwenye screen, Hiyo picha imeonyeshwa tu gari likiwa limesimama wakati wanasema CCTV iliwafuatilia hadi Kawe....tuonyesheni picha moja tu ya gari likiwa barabarani?

Unajua boss, hawa watu (polisi) hawana tofauti sana na waTanzania wengine wengi. Ni jamii moja wanayotoka wote.
Kwa hiyo wanajua tabia halisi za waTanzania. Kuamini chochote hata kama ni cha kijinga, mradi kimesemwa na mtu mwenye cheo au madaraka juu yao.

Usione humu kwenye mtandao, hii sio 'sample' sahihi ya waTanzania, hasa walioko huko vijini na miji mingi ya pembezoni.

Hatimae, hawa wananchi watabadilika tu, hasa mambo ya kishamba kama haya yakzidi kuendelea. Itakapofikia huko, taifa letu litakuwa limekombolewa kikwelikweli.
 
Action movie si za kweli ila zinaelezea mambo ya kwel.inawezekana kabisa watekaji wakajifanya wamemwachia mtu wenu wakawa kama wameondoka lakini mnapokuja kumchukua wote mkatekwa kuongezea nguvu madai yao.so hapa ilipaswa itumike akili.

Lakini najua pengine mzee naye alikuwa amechezesha akili.akahisi katika suala la kuwaambia polisi kuna ambao si waaminifu akaona wao wajitoe muhanga na si kwamba hawakwenda wamejiandaa....na imani nao walikuwa na silaha za moto.

Katika filamu au movie action nyingi ni "fiction" sio za ukweli....sasa ukianza kuchambua hizo action za movie utakesha mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Action movie si za kweli ila zinaelezea mambo ya kwel.inawezekana kabisa watekaji wakajifanya wamemwachia mtu wenu wakawa kama wameondoka lakini mnapokuja kumchukua wote mkatekwa kuongezea nguvu madai yao.so hapa ilipaswa itumike akili.

Lakini najua pengine mzee naye alikuwa amechezesha akili.akahisi katika suala la kuwaambia polisi kuna ambao si waaminifu akaona wao wajitoe muhanga na si kwamba hawakwenda wamejiandaa....na imani nao walikuwa na silaha za moto.
Au pia watekaji wengine wangeweza kutumia sauti ya kuigiza ili na wao wateke pia
 
Msemaji wa familia ya MO ndugu Azim Dewji amesema walipopokea simu ya MO walikimbilia eneo la tukio bila ulinzi wowote na anakiri hilo lilikuwa kosa. Nimependa busara ya Dewji maana nyakati nyingine mnaweza kuingia kwenye mtego wa adui kirahisi.

nacho jiuliza laini na simu alinunua wapi pili laini alisajiliwa na nani wakati aliacha kwenye gari.tatu maeneo ya gymkana utamkuta nani usiku hakupe simu
 
Harafu mipango hiyo inafanyikia city centre tenant sehemu nyeupe pee,kama hii saga si maigizo then ubavu wa kutuambia nchi IPO salama mnautoa wapi? mnatuambia.Hivyo
Ukielewa dhana na kutofautisha public security, state security na individual security utakuwa umejibu swali lako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom