#COVID19 Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

hivi hawa wahindi wamezaliwa hapa, wameishi hadi wamezeeka lakini hawajui kiswahili vizuri huwa sababu yake nini, au wanajifanyisha?
Hawa jamaa mara nyingi kujichanganya ni wao kwa wao tu
Na wao kwa wao mara nyingi utakuta ni gujarat tu mwanzo mwisho 😀😀😀😀
 
Mtulie, tupo wengi nyuma ya Gwajima. Wafunike madomo yao tu
Kumbe nawe ni mojawapo katika hawa waumini wake, pole!

Shetani mjanja sana!
 
Nipo na Gwajima.Mwambie Huyo Baniani.Team Gwajima kwenye hili tujuane.
 
Mbona wanaitetea sana hii chanjo ya bure... tulishakufa sana na kipindupindu , kansa , ukimwi walikua wapi leo hii watujali kiasi hiki?
 
Hawa jamaa mara nyingi kujichanganya ni wao kwa wao tu
Na wao kwa wao mara nyingi utakuta ni gujarat tu mwanzo mwisho 😀😀😀😀
manake hata kina modewj wakati mwingine unaona kabisa hayuko fluent 100% wakati amezaliwa singida hapo almanusura alitakiwa akijue na kinyaturu. lakini siwashangai kwasababu hata waswahili usukumani huko utakuta mtu hata kiswahili hakijui,
 
nakupa pole wewe maana siku si nyingi unapigwaaaaaaaaaaa kwa Jina la Yesu aliye hai
Kumbe wewe ndiye huyo Mchungaji Kibwetere aka aka askofu/mbunge aka baunsa au hujui unaongea na nani ibilisi wahed wewe, hebu nipe tafsiri ya maneno unayoongea kwenye hiyo video wewe shetani! Usilitaje bure Jina la Bwana...
 
Nazilipua falme zako za kipepo paaaaaaaa! kwa jina la Yesuuuu!. Tunazika mashetani yote mwaka huu, hatutavuka na vipepo uchwara mwaka huu
 
Huyo Mhindi arudi kwao India. Wahindi hawana kinga asilia kama zetu weusi ndo wanaongoza kwa kupigia kelele mambo ya chanjo. Wanatuharibia tu nchi. Magu aliwatuliza sana kidume yule.
 
KWANI CHANJO AMBAZO ANALETA AZIM DEWJ KAMA ALIVYOSEMA RAIS ZINAITWAJE? TUANZE KUFAHAMU MAPEMA. Haya mambo bwana....yana mambo mengi mengi ndani yake.
 
Back
Top Bottom