Walitoa taarifa. Huenda wewe ndio hukuipata.Yani king'amuzi cha Azam wamefutilia mbali Tv 1 hata bila Taarifa.
Wakati walikuwa wanaonesha michuano ya mipira mbalimbali,ikiwa ni pamoja na confederation cup.
Kwanini Azam?
Kuna channel moja ya Kenya nadhani ktn huwa nayo inaonyesha. Sina hakika na jina ila kati ya channel za kenya zilizopo kuna moja inaonyeshaWatuambie kombe la Mabara wataonyesha channel gani na Leo ni nusu fainali?
Kuna channel moja ya Kenya nadhani ktn huwa nayo inaonyesha. Sina hakika na jina ila kati ya channel za kenya zilizopo kuna moja inaonyesha
Na mechi ni saa 3 usiku sio muda huu.Kumbe ndo maana nimenunua kirufushi Azam, So natafuta TV 1 nicheck mechi ya Mabara siioni..
Kwa hyo wamehamia kwenye king'amuzi gani..?
Cheki chanel 119Na mechi ni saa 3 usiku sio muda huu.
Wameshaifuta Azam haipo tena inaonyesha giza tuWakuu msipanic,mi mwenyewe nilichemka siku moja,ila sasa wanaaita tv1 tanzania,chanel 119,game zote utazipata hapoa,pia kbs nao wanaonesha kama sikosei
Itaonesha,kama unataka soka cheki kbs au k24,Mojawapo itaoneshaWameshaifuta Azam haipo tena inaonyesha giza tu
Hivi mkuu unaking'amuzi cha azam lakini. Mana hapa ninapoongea nimeijaribu Tv 1 haionyeshi kitu.Itaonesha,kama unataka soka cheki kbs au k24,Mojawapo itaonesha