AzamPay preps to launch AzamPesa

Huyu Muarabu si atadominate industries zote Tanzania. Kuanzia Azam tv, Azam drinks hadi sasa ameingia kwenye Azampesa. Aisee kwani Tanzania ina mwanamme mmoja tu hao wengine ni mazombie?
Ivi Mo ana viwanda kweli sijawahi viona ata gari tu ya kusafirisha bidhaa zake sijawahi iona alafu mtu anakuja Mo tajiri for what?
 
Serikali lazima imzuie kidogo kwa sababu sio vizuri mtu mmoja kumiliki industries nyingi katika nchi moja. Hio ni national security threat. Yeye akitaka anaweza kuangusha uchumi wenu kwa sababu yeye ndiye ameshika remote control mkononi. Kuna waarabu na wahindi akina Mo, Azzam, Rostam lazima waangaliwe kwa umakini wasije kumiliki uchumi wote huku nyinyi yahe mkiumia.
Mo ana nini?
 
Mo ndio mtu mwenye mali nyingi zaidi Afrika Mashariki na kati. Yeye ndio mtu pekee Afrika Mashariki na kati mwenye networth ya dollar bilioni moja. Lakini biashara zake sizifahamu mimi.
Huwa nashangaa ata huku Tanzania Mimi sijawahi kuona kiwanda chake
 
Watanzania wengine wa kawaida wako wapi? Watu watatu tu ndio wanadominate uchumi wenu? Mo, Azzam, Rostam. Huoni hapo kuna shida mahali?

Upo sahihi na ndo mana nikashauri inabidi tutengeneze wengine wengi zaidi
 
Huwa nashangaa ata huku Tanzania Mimi sijawahi kuona kiwanda chake

Ana kiwanda cha nguo 21st century but Mo sio manufacturer sana yeye ni dalali mwenye brand tu na vitu vingi anatengezea nje hata biscuits zake hazitoki bongo , tambi etc

Ila sabuni anatengenezea bongo
Kuhusu magar nimewahi yaona machache yamechokaaa kama ya mkaa hivi tofaut na Azam mwenye gari nyingi na kali
 
Hata nashangaa kwa nini huyu jamaa hajaanzisha benki. Hio ndio industry pekee iliyobaki na soon najua ataanzisha benki au pia anaweza kununua existing bank. Yaani jamaa anadominate uchumi wenu vibaya sana.
Mbona Kenyata na familia yake wanaimiliki Kenya kwa 60% au hujui
 
Hata nashangaa kwa nini huyu jamaa hajaanzisha benki. Hio ndio industry pekee iliyobaki na soon najua ataanzisha benki au pia anaweza kununua existing bank. Yaani jamaa anadominate uchumi wenu vibaya sana.
As long as ni Mtanzania acha adominate kwa kuwa haibi Africa na kupeleka ulaya kama Middlemen wanaojiita matajiri kenya wanavyofanya.
 
Ana kiwanda cha nguo 21st century but Mo sio manufacturer sana yeye ni dalali mwenye brand tu na vitu vingi anatengezea nje hata biscuits zake hazitoki bongo , tambi etc

Ila sabuni anatengenezea bongo
Kuhusu magar nimewahi yaona machache yamechokaaa kama ya mkaa hivi tofaut na Azam mwenye gari nyingi na kali
Hahaha. Yaani mnamruhusu huyu Muarabu Mo kuimport biskuti na kuzibrand? Yaani unajua anauwa industries ngapi kwa ushenzi huo? Kama mngeruhusu mfanyibiashara mwingine kuanzisha kiwanda cha kutengeneza biskuti hapo Tanzania unajua mngeajiri maelfu ya vijana na pia serikali ingepata kodi kwa wingi? Hata suppliers wa raw materials kama kampuni za kusaga unga wa ngano au kampuni za sukari hapo Tanzania zingepata tender ya kusupply raw materials kwa kampuni hio ya biskuti. Lakini kumruhusu huyu mtu kuimport ready made biscuit halafu kazi yake ni kubrand tu ni upuuzi mtupu. Kwa kila kijana mmoja aliyeajiri kubrand products zake kuna vijana wengine watano wangeajiriwa ikiwa angeanzisha kiwanda hicho hapo Tanzania. Sasa yeye pia anajidai kwamba ameajiri Watanzania wengi lakini kumbe anauwa industries zenu.
 
Then he should have been the richest man in Tanzania. Jamaa hawezi kumonopolise kila kitu.

Uchumi wa Tanzania uko very diverse. Kina ishu nyingi sana very virgin name zina opportunity nyingi sana

Kilimo, uvuvi, ujenzi, healthcare. Yani fursa ni nyingi sana. Ukipata mtu kama huyu. Anapesa na anaona opportunity hizi, mwache azichangamkie. Wagine wamepiga sana hela zetu hapa. Sasa ni mdu umefika tukomae wenyewe.

AZAM ni mtanzania kabisa. Sio mwarabu. Kama ni mwarabu angekuwa Omani sasahivi.
Unataka kucompare land na industries? Kuwa serious bwana. Azam literally owns Tanzania.
 
Then he should have been the richest man in Tanzania. Jamaa hawezi kumonopolise kila kitu.

Uchumi wa Tanzania uko very diverse. Kina ishu nyingi sana very virgin name zina opportunity nyingi sana

Kilimo, uvuvi, ujenzi, healthcare. Yani fursa ni nyingi sana. Ukipata mtu kama huyu. Anapesa na anaona opportunity hizi, mwache azichangamkie. Wagine wamepiga sana hela zetu hapa. Sasa ni mdu umefika tukomae wenyewe.

AZAM ni mtanzania kabisa. Sio mwarabu. Kama ni mwarabu angekuwa Omani sasahivi.
Endelea kutetea upuuzi. Nyinyi wengine mazombie mpo mpo tu.
 
Ivi Mo ana viwanda kweli sijawahi viona ata gari tu ya kusafirisha bidhaa zake sijawahi iona alafu mtu anakuja Mo tajiri for what?
Mo yuko juu ya huyo azam ..mo anauza vifaa vya umeme kuanzia majiko, pasi ,wire ,ma fridge ,nk ..mo anazo mpaka piki piki mzee
 
Endelea kutetea upuuzi. Nyinyi wengine mazombie mpo mpo tu.
Upuuzi gani katetea mbona we ndio huna hoja .mtu kajenga viwanda kibao katoa ajira kibao na hujawai sikia kua ana kesi za kukwepa kodi ..sasa wazani yeye akiacha izo shughuli hao watz walioajiriwa ww utaeza kuwaajiri ..au kisa ana asili ya uarabu ndio mnaleta ubaguzi
 
Back
Top Bottom