Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Azam imetolewa kwenye Kombe la Shirikisho. Azam, ambayo ilishinda mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazijijini Dar es Salaam Aprili 10, ilikuwa imebeba matumaini makubwa ya Watanzania ya kusonga mbele baada ya timu za Zanzibar kutolewa huku wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, wakiwa na wakati mgumu mbele ya Al Ahly ya Misri.
Kwa habari zaidi, soma hapa => Azam, Zanaco zatolewa na Watunisia Kombe la Shirikisho | Fikra Pevu