azam yazidi kuweweseka na kipigo cha yanga,wamtimua moses othiambo (blakbery)

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
kufuatia kipigo cha finalii ya kagame kutoka kwa yanga,azam bado inaendelea na migogoro yao na wachezaji wao safari hii wamemvunjia mkataba moses othiambo.Inashangaza cozwalitangaza kumaliza uasjili zamani sana lakini kummbe ni siasa 2:rant:
 
kufuatia kipigo cha finalii ya kagame kutoka kwa yanga,azam bado inaendelea na migogoro yao na wachezaji wao safari hii wamemvunjia mkataba moses othiambo.Inashangaza cozwalitangaza kumaliza uasjili zamani sana lakini kummbe ni siasa 2:rant:

Sio Moses Odhiambo ni George Odhiambo.
Azam wanakurupuka hawana viongozi wanaojua vizuri soka, wengi wao wapo pale kwa ajili ya matumbo yao.
mwaka huu wameshavunja mikataba na wachezaji wa tatu (3)
Wagana wawili (2) yalikua magarasa muda wote walioishi tanzania hawakuweza kuonyesha chochote zaidi ya kula mshahara wa miezi sita(6) bure, wakilipiwa malazi, chakula na vibali vya kuishi na kufanya kazi.

Wakaja tena na mbwembwe nyingi kuhusu Odhiambo 'Blackberry' ooh katoka Denmark, mchezaji mzuri Azam tumekamilika
na kaka yao Shaffih akawasaidia kumfanyia matangazo na kumnadi kila siku, matokeo yake wamemuacha pasipo kucheza hata mechi moja ya ligi duu, halafu ndio wanasema timu iliyopo kisasa Tanzania ni Azam?

Blackberry walimsajili kwa bei gani? wamevunja mkataba wamemlipa bei gani?

Azam Fc ni shamba la bibi kwa wageni kwenda kuchukua pesa za Bakhresa na kuondoka
 
Nimeamini ndugu lazima wafanane kama siyo ki'mwonekano(sura) basi hata kitabia, Azam hawa ndugu zao Simba wapo kama Kaka zao,ona Simba walivyoingia hasara:-
Mbiyavanga,Lino Mosombo,Mussa Mude etc wote walivunjiwa mikataba huko walipokuwa wakapewa mafungu yao ya usajili wakalipiwa ticket za ndege na kulipiwa Ma'hotel walipokuwa hapa Bongo,wamecheza Kagame tu wakawatimua,kwa vyovyote vile watakuwa wamewapa na pesa za kuwafunga mdomo mana'ke washikaji kimyaa....sasa ni mamillion mangapi hapo yamepotea,hapo sijamjumuisha Danny Mrwanda ambaye na yeye alishakula fungu lake, hiyo ndo Simba bwana kama Azam kwa Blackberry sijui Mchina
 
Vp kuhusu sijui Mussa Mude?
Nasikia eti nae katimuliwa?
Mbuyu Twite aliyaona hayo akabadili upepo fasta.
 
nimeamini ndugu lazima wafanane kama siyo ki'mwonekano(sura) basi hata kitabia, azam hawa ndugu zao simba wapo kama kaka zao,ona simba walivyoingia hasara:-
mbiyavanga,lino mosombo,mussa mude etc wote walivunjiwa mikataba huko walipokuwa wakapewa mafungu yao ya usajili wakalipiwa ticket za ndege na kulipiwa ma'hotel walipokuwa hapa bongo,wamecheza kagame tu wakawatimua,kwa vyovyote vile watakuwa wamewapa na pesa za kuwafunga mdomo mana'ke washikaji kimyaa....sasa ni mamillion mangapi hapo yamepotea,hapo sijamjumuisha danny mrwanda ambaye na yeye alishakula fungu lake, hiyo ndo simba bwana kama azam kwa blackberry sijui mchina

kazi wanayo.............
 
Back
Top Bottom