Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Azam FC, leo wamewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo ya mchezo wa kwanza wa raundi ya pili, Azam imejiwekea mazingira mazuri ya...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Azam yawatoa kimasomaso Watanzania, yaichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 | Fikra Pevu