Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Leo ndo leo asiye na mwana aeleke jiwe, miamba miwili ya soka ya hapa tanzania timu ya Azam na yanga wanapotifuata uwanja wa Taifa.
Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo
Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo