Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Unajikuta mwanaume upo kwenye Hiace, unanunua Ukwaju wa Azam unaanza kushusha taratibu, mara ghafla paap mdada anaingia ndani ya gari na yeye kashikilia ukwaju anaunyonya taratibu, ukimtazama jinsi anaushambulia kwa mashambulizi ya kimya kimya, anauweka mdomoni anautoa, dah!
Yani mwanaume unajiona sijui kitu gani na wewe kulamba ukwaju aiseee. Azam tafadhali, bidhaa yenu ni mtihani kwa wanaume.
Nyie hamjiulizi kwanini wanaume wengi hawatumii Azam Ukwaju.
Yani mwanaume unajiona sijui kitu gani na wewe kulamba ukwaju aiseee. Azam tafadhali, bidhaa yenu ni mtihani kwa wanaume.
Nyie hamjiulizi kwanini wanaume wengi hawatumii Azam Ukwaju.