Azam Ukwaju, badilini umbo la bidhaa yenu, wanaume wanapata tabu

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,292
Unajikuta mwanaume upo kwenye Hiace, unanunua Ukwaju wa Azam unaanza kushusha taratibu, mara ghafla paap mdada anaingia ndani ya gari na yeye kashikilia ukwaju anaunyonya taratibu, ukimtazama jinsi anaushambulia kwa mashambulizi ya kimya kimya, anauweka mdomoni anautoa, dah!

Yani mwanaume unajiona sijui kitu gani na wewe kulamba ukwaju aiseee. Azam tafadhali, bidhaa yenu ni mtihani kwa wanaume.

Nyie hamjiulizi kwanini wanaume wengi hawatumii Azam Ukwaju.
 
Dar kuna changamoto sana. Dah
IMG-20200116-WA0051.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nikiona mwanaume ananyonya hiyo kitu huwa namuangalia kwa macho ya tofauti sana

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom