ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 620
- 1,543
Ifikapo saa mbili na nusu usiku huu Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe atakuwa [HASHTAG]#AzamTwo[/HASHTAG] - katika kipindi cha Mizani ya Wiki, atakuwa na mjadala kuhusu Masuala ya Msingi ya Sekta ya Madini nchini Tanzania.