Azam tv tutendeeni haki sisi wateja wenu ambao ni wana Michezo.

Sengeon

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
529
112
Baada ya Tpl kuisha sehemu kubwa ya vipindi mnavyotuwekea ni movie. Sasa Azam one na Azam Two ni Chanels za Spots na inatakiwa muwe mnatuonyesha mipira hata kama ni Reply. Wengine tumenunua ving'amuzi kwa ajili ya football. Tunaomba hizo movie zihamishwe kwenye chanel zingine na Azam one na Two zibaki kuwa sports chanels.
 
Back
Top Bottom