Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

Mchezo wa ngumi nia ni kupata pesa.
Ni kama mwanamziki bila matamasha pesa inapungua.

Sifahamu sheria inasemaje kuhusu muda wa bondia kupumzika baada ya pambano lake la mwisho.

It is true anapata pesa kwa kupigana. But anatakiwa akae chini na management yake wawe na mkakati wa kupata faida kubwa kwa kutumia scarcity yake ya kutokuonekana ulingoni ifikie kipindi mashabiki wake tuwe tunahitaji pambano lake na akifikia hapo hata akipigana mara 3 tu kwa mwaka anapata hela nzuri.

Ingwa sikatai kua akipigana mara kwa mara anamake more money ila anatakiwa ashinde hayo mapambano akipoteza mawili mfululizo nae ajiande kuona his downfall.

Hii ndio hasara ya kupigana kila siku ngoja aongeze namba ya mapambano ya kupigwa mwisho wa siku hatakua headliner ila msindikizaji wa mabondia wenye record nzuri.
 
Hawa ndo mabondia wetu,eti wapigane na bondia wa kimataifa toka Tanga. Mkongo amewapa somo
 
Back
Top Bottom