GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,877
- Thread starter
- #21
Natural Charm yangu inawatesa wengi.Hata mimi nineshangaa, sijui jamaa kamkosea nini kumporomoshea matusi!
Natural Charm yangu inawatesa wengi.Hata mimi nineshangaa, sijui jamaa kamkosea nini kumporomoshea matusi!
Tafadhali Mkuu hapo ulipo ingia Azam Tv uone kama hawajaandika Saa 9 Alasiri na siyo hiyo Saa 10 yenu. Leo Kazi ipo na tunayo Wallahi.....!!!Kwa tz itakuwa ni 10 kwa bo itakuwa 9
Tuliza mdomo
Asante kwa Taarifa Mkuu japo nimeipata muda huu baada ya Kuingia ( Log In ) JamiiForums huku nikiwa tayari nimeshaitizama hata na Mbungi ( Mechi ) Yenyewe.Azam ndio waliokosea ila tayari wamesharekebisha. Wameweka saa kumi kamili badala ya saa tisa
Naona Wewe ni zaidi ya JamiiForums....Hongera kwani hugusiki kama tunavyogusika ( wanavyogusika ) wengine.Tuliza mdomo
Bila shaka wewe ni mmoja wa wale aliokuwa akisema "mtu akiwa yanga"Pumbavu mbwa wewe