Azam Tv mmechefua sana wakati wa World Cup 2014

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana na hawa jamaa zetu Azam kushindwa kabisa kuonyesha mechi za kombe la dunia.

Azam wana stations 3 kwenye king'amuzi chao kuanzia ile ya info, one and two. Wana stations nyingi sana za kihindi lakini wameshindwa kuingiza hata channeli moja ya kuonyesha mpira moja kwa moja, inapotokea TBC1 wakakacha basi king'amuzi kizima kinakuwa useless.

Hii ni aibu sana, mnaboa sie wateja wenu.
 
Asante sana Mkuu kwa info, nilikuwa nafikiria kununua ila nitaendelea kulipia Cable TV tu, inaisha kesho kutwa.

Azam Tv Wazo lililetwa na Wahindi wanaomuendesha Bakhresa ndio wanaoiongoza hiyo TV unategemea nini hapo! zaidi ya kula kachori tu mtatizama Criket hadi muwekewe pilipili.

CTV ni ya wahindi wa Bongo wanapenda soccer kuna zaidi ya Channel 10 zote zinaonesha World Cup raha itakuwa pale mechi zinapokuwa muda mmoja CTV unajichagulia mechi ya kutizama au unachange change tu kwa remote.

TBC labda ugeuze TV
 
Blaza ktk azam tv kuna zbc mpira unaonekana ..ah ulitaka azam chanel zke ndio waoneshe ? Mm nina azam sijakosa game hta moja ..
 
Blaza ktk azam tv kuna zbc mpira unaonekana ..ah ulitaka azam chanel zke ndio waoneshe ? Mm nina azam sijakosa game hta moja ..

Hauwezi kuwa mpenzi wa mpira ukasema Zbc na Tbc ni vituo reliable vya kuangalia mashindano makubwa kama WC, Tbc1 na Zbc wanaonesha bunge hapohapo uwategemee wakuonesha WC, nikuulize hapo ulipo kama Tbc inatoa sauti toka juzi, alafu unijibu kama game ya germany leo umeiona na unambie umeiona kwenye kituo kipi kati ya hivyo.
 
Aisee...mimi natazama world cup vizuri mno na azam tv...Poleeeni Sana
 
Sauti bonyeza audio then change ktk stereo itakubali ... blaza ukitaka uhakika dstv mwisho wa habari .
 
Hauwezi kuwa mpenzi wa mpira ukasema Zbc na Tbc ni vituo reliable vya kuangalia mashindano makubwa kama WC,Tbc1 na Zbc wanaonesha bunge hapohapo uwategemee wakuonesha WC ..nikuulize hapo ulipo kama Tbc inatoa sauti toka juzi,alafu unijibu kama game ya germany leo umeiona na unambie umeiona kwenye kituo kipi kati ya hivyo

Wateja wengi mno wa azam tv tunatazama world cup zaidi ya channel 3....wewe Unataka utafuniwe na ulishwe...wanabanwa kisheria kuonesha world cup but ipo tele channels zaidi ya nne....uliza usaidiwe
 
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana na hawa jamaa zetu Azam kushindwa kabisa kuonyesha mechi za kombe la dunia

Azam wana stations 3 kwenye king'amuzi chao kuanzia ile ya info,one&two
Wana stations nyingi sana za kihindi lakini wameshindwa kuingiza hata channeli moja ya kuonyesha mpira moja kwa moja.inapotokea TBC1 wakakacha basi king'amuzi kizima kinakuwa useless

Hii ni aibu sana,mnaboa sie wateja wenu

mnawaonea fifa ndio wakulaumiwa kwa upande mwingine na kusifiwa kwa upande mwingine coz safari hii wametoa vibali zaidi kwa tv za taifa kuliko local channels kwaiyo kwa local channel price imekuwa juu sana
 
Wateja wengi mno wa azam tv tunatazama world cup zaidi ya channel 3....wewe Unataka utafuniwe na ulishwe...wanabanwa kisheria kuonesha world cup but ipo tele channels zaidi ya nne....uliza usaidiwe

Nisaidie mkuu make huku Tbc wameondoka na sauti toka jana kidogo labda Zbc
 
Blaza ktk azam tv kuna zbc mpira unaonekana ..ah ulitaka azam chanel zke ndio waoneshe ? Mm nina azam sijakosa game hta moja ..
Hawa jamaa wa zbc ndo majinga kabisa rangi yao hovyo na sometime matangazo yao hua yanakatikakatika sana,,,
 
Wateja wengi mno wa azam tv tunatazama world cup zaidi ya channel 3....wewe Unataka utafuniwe na ulishwe...wanabanwa kisheria kuonesha world cup but ipo tele channels zaidi ya nne....uliza usaidiwe
Chanel gani hizo rafiki ukiachana na tbc na zbc?????
 
Kupitia Azam tv kuna frequency ukiongeza unapata channel za bure kibao....ni very simple process...mimi nimeongeza channel 40 za bure tena nzuri tu......Kuna uzi humu JF unaotoa maelekezo jinsi ya kujiongezea channel kupitia dekoda ya Azam tv....

Kupitia Azam tv nina channel 5 zinazoonesha wodi kapu....jaribuni hii makitu hapa chini niliyokopi kwenye uzi huo........


lnb freq. Weka 97500-10600, location east, longitude 7.0, then tranaponder ingiza zifuatazo, 12645 30000H, 10962 3255H, 11192 3210H, 12520 27500H, 12728 30000H. Kuna channel za drc na west africa.
 
Mimi pia natumia azam tv na nacheki mpira kupitia RTS1 (tv ya taifa ya senegal).. Mkifuatilia ule uzi wala hautajuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom