MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 713
- 1,136
Nimekua nikiangalia programme nyingi kupitia Azam TV lakini huwa hawaonyeshi neno live hasa kwenye.Azam Two na Azam Sports 2.
Kwa mfamo muda huu nacheki game ya Majimaji na Stand United lakini huwezi kujua kama ni recorded programme ama laa.
Wakati huo huo AUPL kati Mbarara city na Vippers kuptia Azam One kuna neno live. Wakionyesha Laliga pia huwa neno Live linawekwa.
Je mmekatazwa na TCRA au tatizo ni nini. Mtu anaweza asiangalie match kwa kutokujua kama programme hiyo ni live au recorded.