Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Nani hao vodacom wanaolipa mil80 mshindi wa VPL...harafu jamani kurusha mpira live sio.kitu kidogo na azam wanajitahd kupeleke watu musoma uwalipe usafirishe mitambo uwalipe TCRA UWALIPE SERIKALI NOT EASY WAZEEE

yeah ni kweli
 
KWA kuutaja huo Mkataba utaona kama mkubwa..Lakini ni mdogo kulingana na gharama halisi...hatujui vipengele vyake labda watufafanulie TFF ambao mm siwaamini kabisa wale jamaa...
Gharama halisi zipi,weka hesabu mezani tufanye ulinganifu kabla ya kuhitimisha kusema eti mdogo
 
Halafu kuna kenge zinasema azam kawanyonya, yaani kabisa nakaa naangalia gwambina na kmc kweli?
Achana na hao pimbi wajinga wanaomiliki vibanda vya m pesa hawawezi jua biashara za masafa yaani kama hizo za mda mrefu za ku project future when other things remain constant.

Hapo Azam anacheza kamali kama betting tuu
 
Hela ndogo mno, gharama za uendeshaji timu zinapanda kila mwaka, angalau ingekuwa hta trillion 3
 
Hela ndogo mno, gharama za uendeshaji timu zinapanda kila mwaka, angalau ingekuwa hta trillion 3
Timu zitafute na kuongeza vyanzo vingine vya mapato ili kuweza kumudu gharama za uendeshaji. Hakuna mdhamini mmoja anayekidhi mahitaji yote ya uendeshaji wa timu. Hii ipo popote pale. Na ukisema iwe hivyo (mdhamini mmoja akidhi mahitaji yote ya kuendesha timu) basi ligi itakua HAIDHAMINIKI.
 
Big noo..Hawa Majamaa walikuwa wanaitaka Sana hii ligi ...Ila nadhan dau lao halikuwa zuri ...plus this time sidhan Kama wakiomba tenda..maana wakiomba ni TBC(startime) Startv (continental ) na ATN ( TIng)
League yetu haiwezi onyeshwa DsTv bado tuna ujinga mwingi hao DSTV walikua wana onyesha league ya Zambia, Kenya,na Ethiopia fatilia nini kilitokea, sisi tuna ujinga mwingi unakuta mechi inatakiwa ichizwe leo ghafla una ambiwa ime ahilishwa wakati huo watu wa production washa fika eneo la tukio unadhani nani ata gharamia hizo hasara?
 
Merchant za klabu Pekee kwa Yanga na Simba Tayari ni Pesa kubwa Sana..
Angalia Simba Day.....
Mwananchi Day .........
Viingilio + Mauzo ya Product zao + Wauze haki yakuonyesha tu hizi Tamasha kwa Tv wanazo zitaka watapa Fedha kiasi Gani.??
Unapoongea yote hayo unatakiwa uweke na takwimu halisi ya thamani ya hizo club na mapato yanayopatikana.

Simba day mapato ni kiasi gani?

Viingilio ni kiasi gani?

Mauzo ya products zao ni kiasi gani?
 
League yetu haiwezi onyeshwa DsTv bado tuna ujinga mwingi hao DSTV walikua wana onyesha league ya Zambia, Kenya,na Ethiopia fatilia nini kilitokea, sisi tuna ujinga mwingi unakuta mechi inatakiwa ichizwe leo ghafla una ambiwa ime ahilishwa wakati huo watu wa production washa fika eneo la tukio unadhani nani ata gharamia hizo hasara?
Mzee nakuhakikishia.DSTV wametamanj Sana kurusha ligi hii hii unayoita ya kijinga...kwanza bongo pesa ipo mzee, hayo Mambo ya muda mtajua wenyewe...wao wakishaseti obivan lao pale hawana tabu..hata mkihairisha game mara mia..coz demand /wateja wao watakuwa wa tz tu labda na kenya n.k..

Ligi ya Zambia, na ethiopia zinaonyesha na wao mzee..ligi ya kenya walikosa haki..now inaonyesha ana Startime .

Alafu kingine ujue..DStv ni mkono mfupi Sana wale jamaa..wanachotamba nacho ni kuenea kwao kwenye nchi nyingi za Afrika..so wanabid tenda kwa pesa kiduchu kwa kigezo hiko..wakijua pengine kinashawishi..ni Afrika kusin tu ambapo wametoa pesa nyingi na ya maana ..the same na walichofanya Azam TV hapa bongo..wana uhakika wa wateja na wateja wanazidi kuongezeka..so why wasitoe mzigo mkubwa!?
 
Azam ni wakati wake wa kula mavuno, alirisk kipindi hicho hamna anaetamani ligi ya bongo wakiwemo hao DSTV. Now ligi ishakuwa brand kubwa mnaanza kumchukulia poa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Azam kapambana sana kuibrand hii ligi, hata akipewa mkataba wa miaka 50 ni haki yake, hao DSTV na the like walishawah kuwa sponsor na wakafeli, Star times walidhamin ligi daraja la kwanza wakafeli, timu zilikuwa hazilipwi na bla blaa za hapa na pale.
 
Mzee nakuhakikishia.DSTV wametamanj Sana kurusha ligi hii hii unayoita ya kijinga...kwanza bongo pesa ipo mzee, hayo Mambo ya muda mtajua wenyewe...wao wakishaseti obivan lao pale hawana tabu..hata mkihairisha game mara mia..coz demand /wateja wao watakuwa wa tz tu labda na kenya n.k..

Ligi ya Zambia, na ethiopia zinaonyesha na wao mzee..ligi ya kenya walikosa haki..now inaonyesha ana Startime .

Alafu kingine ujue..DStv ni mkono mfupi Sana wale jamaa..wanachotamba nacho ni kuenea kwao kwenye nchi nyingi za Afrika..so wanabid tenda kwa pesa kiduchu kwa kigezo hiko..wakijua pengine kinashawishi..ni Afrika kusin tu ambapo wametoa pesa nyingi na ya maana ..the same na walichofanya Azam TV hapa bongo..wana uhakika wa wateja na wateja wanazidi kuongezeka..so why wasitoe mzigo mkubwa!?
Hivi unajua tenda hii tunayoijadili Dstv hawakubid? Sasa kwanini tunahangaika hata na ambao hawakubid?
 
Tena dollar million 100

Halafu watu wanasema eti Mo ana pesa kuliko huyu mzee.

Nitakataa mpaka kesho

Mzee hapendi siasa yeye ni reactions tu
Wabongo kwa porojo hamjambo?!!hao wanaosema MO ana pesa wanasema kwa utafiti,wewe kama unapinga njoo na utafiti wako,no research no right to speak.
Azam kutoa kiasi icho cha pesa sio kwamba wanatoa pesa zote cash!! Hapana,pesa zitatoka kutokana na terms na condition walizowekeana kwenye mkataba huo wa miaka kumi.
Kumbuka pesa hizo Azam media hatoi tu mfukoni mwake moja kwa moja.
Fedha itatoka kwenye biashara iyo ya ving'amuzi,wateja wanalipa nae anakusanya analipa rights za kuonyesha ligi, kutokana na mkataba ulivyo,ikitokea bahati mbaya,mfano akaona biashara inaenda ndivyo sivyo,hawezi kutoa pesa zake mfukoni,itabidi avunje tu mkatabaka.
Mambo ndio uwa hivyo, kumbuka GTV iliwahi kuingia mkataba na tff nafikili ile ya Tenga,ila kwenye hatua za awali tu,kampuni ikafilisika na mkataba ukaishia hapo.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom