Azam TV kulikoni?

Luqash

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
916
342
search

Mwishoni mwa mwezi wa October, Rhys Torrington, CEO wa Azam TV, aliitisha press conference na kuahidi kuwa wangeanza kuuza ving'amuzi 'katikati ya mwezi November' na kuwa Azam TV ingezinduliwa rasmi tarehe 29 November (kesho). Mpaka sasa hawajaanza kuuza ving'amuzi na hakuna dalili za uzinduzi kesho, Kulikoni? Mwenye taarifa yoyote na atujuze...
 
No hurry in Africa

Huenda suala la visimbuzi bado halijakaa vizuri
lakini tukumbuke vema hawa jamaa watajitahidi
sana kudhibiti makosa yaliyofanywa na

StarTimes kwenye visimbuzi vyao.
Tuwe na subra kiasia ili tupate kitu chenye ubora
 
search

Mwishoni mwa mwezi wa October, Rhys Torrington, CEO wa Azam TV, aliitisha press conference na kuahidi kuwa wangeanza kuuza ving'amuzi 'katikati ya mwezi November' na kuwa Azam TV ingezinduliwa rasmi tarehe 29 November (kesho). Mpaka sasa hawajaanza kuuza ving'amuzi na hakuna dalili za uzinduzi kesho, Kulikoni? Mwenye taarifa yoyote na atujuze...

mambo mazuri hayataki haraka..
 
Waje vzr kabisa!wakiweza kupata channel za mpira hata za spain na bundes kwa kuanzia sio mbaya!pia watafute BPL hata kwa kiarabu!wameua!!
 
Startimes ch'upi zinawabana hivi sasa; nadhani ukimya huu wa Azam si ajabu wanaangalia possibility ya kutuletea ving'amuzi hadi ghetto! Unacheza na distribution strategies za Azam!!! Usishangae pia hivi sasa wanatengeneza vibaiskeli vya kuuzia ving'amuzi barabarani....lakini kubwa kuliko yote nadhani wanatafuta uwezekano wa namna gani wateja wataweza kufunga wenyewe na kupata channels angalau kwa kutumia kwanza indoor anthena. Katika maelezo yao, walisema kwamba watakuwa na vijana wao ktk kuwafungia wateja; hii inaweza kuwa setback kubwa katika kujitanua kwa haraka.
 
Back
Top Bottom