Mwishoni mwa mwezi wa October, Rhys Torrington, CEO wa Azam TV, aliitisha press conference na kuahidi kuwa wangeanza kuuza ving'amuzi 'katikati ya mwezi November' na kuwa Azam TV ingezinduliwa rasmi tarehe 29 November (kesho). Mpaka sasa hawajaanza kuuza ving'amuzi na hakuna dalili za uzinduzi kesho, Kulikoni? Mwenye taarifa yoyote na atujuze...