Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,736
- 14,635
- Thread starter
- #341
Nichafue ili inisaidie nini mkuu? Labda kama zinachagua vingamuzi!! Ila kwangu na kwa wengine pia hazipo!!Acha uzushi , mbona zipo zinaonekana.nyie ndo wale mnapenda kuchafua kazi za watu