Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,099
- 34,045
Kimewekwa kwa ajili ya waislam na waislam in progressKwani hiki kingamuzi kinatumiwa tu na Waislamu?
Kimewekwa kwa ajili ya waislam na waislam in progressKwani hiki kingamuzi kinatumiwa tu na Waislamu?
Huyo ujue ana udhuNaona sales lady kutoka azam tv umetia timu
Kwamba huoni mapishi ya pwani?King'amuzi cha azamu ukiondoa Mpira sioni kingine cha kuangalia
Yawezekana kuna ukweli lakini Ni negligible 19 naona madogo wanaenjoy katuni zao, wanyama, movies etc. Nilichomiss local channel Ni kipindi changu pendwa na wasanii wa ukweli wa kipaji wa MIzengwe itv. Sijui chereko sijui Nini walaaaaTanzania local channels ni muhimu hauangalii Tv peke yako unafamilia n.k lazima watahitaji channels za nyumbani.
DSTV mkuu bei yake ya vifurushi ni ghali mno yani kifurushi cha bei ya chini 19,000 kwa wengine ndicho cha bei ya juu
Asee hizo tuhuma ni nzito mimi pia azam fc nimeacha kushangilia kwasababu ya udini. Team nzima waislam teeh uongozi wote waislam
Pamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.[QUOTE="CHAZA, post: 31737477, member: 114660
Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Na bado.
Azam inakuja kwenye Biashara ya Mawasiliano. Ukipiga simu huduma kwa wateja unakaribishwa na Assalam Aleykum.
Waacheni waislamu wainuke sasa. Ni zamu yao. Wamebaniwa sana kimfumo tangu enzi za Mwalimu. Ukiwa upande wa 2 huwezi kuelewa.
Baada ya muda mambo yatabalansi yenyewe. Kwa sasa vumilieni tu.
Contextually, Assalam Aleikum inatumiwa na Waislam..Unajua maana ya asalam aleykum?? Hiko ni kiarabu tuu ni salamu iliyotumiwa mpka na yesu kuwasalimu wanafunzi wake!!.. Rudi darasani ndugu.. Leta facts za kuthibitisha huo udini sio mnaongea tuu
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Hawa wenzetu na udini huwezi kuwatenganisha. Hata hizi tamthilia zinalenga kueneza dini. Siku si nyingi ntafutilia mbali likingamuzi lao. Ngoja hii tamthilia ya suntan iishe maanA home hawatanielewa na baada ya hapo ntafanya maamuzi
Startimes kwenye ubora wa picha bado sanaKwa ambao hamtaki aibu ndogo ndogo kma hizi karibu startimes,channeli kma zotee za nyumbani na za nje kibao kwa malipo ya buku nane tuu kwa mwezi
Hiii kitu mm ndo inaniboaa sana yaan mpk TBC sijui Safarii hii ingekuwa ni Channel ya Azam, hawajuii hata wateja wao wanataka nini...Chuki hizi, Startimes ni Chinese company inafanya kazi worldwide yani Azam cha mtoto sana na si kisimbusi cha dini fulani.
Hata wanaosema Azam ni kisimbusi cha dini hawako sawa ila tatizo linakuja uwingi wa maudhui ya kidini ya kiislamu kwenye channel zisizo za kidini kama Azam two na ZBC zote.
Na tatizo jingine kisimbusi cha Azam kina music channels kama nne tu ajabu hii.
Channel za kidini zipo nyingi tu na zipo upande wa other channels.
TING ndio inamilikiwa na taasisi ya dini.
Gharama za vifurushi vyao zipojeUkitaka kufurahia machaneli ya muziki, reality shows, na documentary nunua Zuku hawana mpinzani katika hilo hata DSTV anagwaya ubaya wao sasa hawa machoko wanakata hadi TBC hawakuachii hata moja pale kifurushi chako kitakapoisha.
utabaki na radios na channels za kidini ikiwemo Top tv ya Ceaser masisi na channel za kamari. Ila kama ni mpenzi wa sports huku utachemka kuna Fox sports tu
Umepiga msumari wa moto.Umemaliza mjadala.Umesema ukweli mtupu.Kwanza mnajuwa hii ni PRIVATE SATATION TV haifungamani na kikundi au Dini ya mtu yoyote kama una pesa zako unataka kurusha MATANGAZO LIVE. HATA YA KANISA JUST LIPIA UTARUSHIWA TU ,hizo mnazoziona za waislaam ni Vipindi vinavyo dhaminiwa na wadhamini wengine ni BAKHRESA CO. lts. Kwa hio kama kina ASAS WALIDHAMINI RAMADHAN CUP , na wakristo nao wadhamini KANISA CUP watarusha matangazo TATIZO ZA NCHIN HII WANAFIKIRIA NCHI HII NI MALI YA WAKRISTO , la hasha UKRISTO ULINGIA BAGAMOYO MIAKA 120 ILIOPITA JUST VERY SOON NA UISLAAM UKO AFRICA MASHARIKI KARIBU MIAKA 1000 Uliopita but still WAISLAAM HAWAJASEMA KAMA NCHI HII YA WAISLAAM PEKE YAO WANAJESHIMU DINI NYENGINE ZANZIBAR SULTAN ALITOA ARDHI PAJENGWE KANISA KWA MAPENZI YAKE MWENYEWE alikuwa na uwezo wa kukataa pia NA DAR ESSALAAM SEWA HAJI ALIJENGA HOSP LWA WATU WOTE HAJAJALI WAISLAAM AU WAKRISTO kwa hio propaganda zenu kwa TV AZAM hazina maana ,tokea MWALIMU NANI KAANZISHA KUONESHA LIVE PREMIER LIGI YA TANZANIA NA RUANDA KWENYE TV KILA MIKOA NANI KAMA SIO AZAM ,hata TBC na ITV NA STAR TV HAWANA UWEZO HUO , hakafu kumbuka mwenye TV STAR TV KWAYA NA MAHUBIRI YA KIKRISTO KILA WAKATI MBONA WAISLAAM
HAWASEMI NA PIA AZAM INA LIPIA CHANNEL ZA NJE KWA MIKATABA IKIWA SISI WENYEWE TCRA IAMWEKEA NGUMU AZAM WAZIRISHE HABARI PAMOJA KUFUNGIA LOCAL TV SABABU HATUJUI MAANA MBONA WAKATI WA KIKWETE CHANNEL ZOTE ZILIPITIANKWA KINGAMUZI HALUNA FREE DIGITAL TV KAMA ZAMANI UNAWEKA ARIEL UNAONA LEO UWE NA KINGAMUZI , sasa azam wakirusha TAMTHILIA ZA KITURUKI AU KIARABU INAWAHUSU NINI WATU WALALAMIKE
KUMBUKA MWENYE TV NIMUARABU NA MUISLAAM MNATAKA TAZAMENI HAMTAKI HAMJALAZIMISHWA ILA KIWEKA MISAA Za kikristo bila kulipia haiwezi kuoneshwa lazima ilipiwe kama
Za waislaam
Wanalipia
Enyi wagalatia,msio na akili,nani amewaloga?Acha upimbi huo hakuna anaelalamikia kuhusu wafanyaķazi kuwa wa upande fulani tu kama yupo basi ni mjinga kinacholalamikiwa hapa kuhusu maudhui ya vipindi vina udini kwa sasa
hao wagalatia unaosema wewe ndio waliokuja hapa kuisifia hiyo channel mwanzoni lakini sasa wanaona mambo ni tofauti udini umejaa azam
Naomba uizungumzie na PSG , wanakwama wapi pamoja na uwekezaji mkubwa wanaowekeza!Hawa jamaa ndio maana hata kwenye timu yao ya Azam wanafeli pamoja na uwekezaji wao kuwa mkubwa.
wana ingilia taaluma za wakurugenzi wao ndio maana wanaboronga.
Mtu kama Tido ni kichwa sana lakini hapewi nafasi afanye kazi yake vizuri.
ndio maana Wanapoteza mvuto kwa kujaza machanel yasiokua na kichwa wala miguu.
Unamaanisha TIDO MHANDO - CEO au Charles Hillary?Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam