Azam Tv inapoteza mvuto

Asee hizo tuhuma ni nzito mimi pia azam fc nimeacha kushangilia kwasababu ya udini. Team nzima waislam teeh uongozi wote waislam
 
Tanzania local channels ni muhimu hauangalii Tv peke yako unafamilia n.k lazima watahitaji channels za nyumbani.

DSTV mkuu bei yake ya vifurushi ni ghali mno yani kifurushi cha bei ya chini 19,000 kwa wengine ndicho cha bei ya juu
Yawezekana kuna ukweli lakini Ni negligible 19 naona madogo wanaenjoy katuni zao, wanyama, movies etc. Nilichomiss local channel Ni kipindi changu pendwa na wasanii wa ukweli wa kipaji wa MIzengwe itv. Sijui chereko sijui Nini walaaaa
 
[QUOTE="CHAZA, post: 31737477, member: 114660
Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Pamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.
Ningemwelewa angeomba leseni ya kufungua biashara zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu. Mwanzoni mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa azamfc. Nimeachana nayo kwa sababu ya elements za udini katika uendeshaji wake.
Kitu rahisi ambacho angeweza kufanya ni kuruhusu, kwa mfano ibada za kikristu siku ya jumapili kwa muda mfupi tu. Halafu akaweka sala/ibada ya ijumaa hata siku nzima ya ijumaa.
Kidogo sasa inapokuwa pasaka au krismasi unaona matangazo yenye ladha ya ukristu. Lakini mwanzo, hakuonyesha chochote katika siku hizo muhimu kwa wakristo. Ni muhimu huyu mzee akaangalia hisia za wateja wake kwa ujumla.

Ushauri wa bure tu.[/QUOTE]

Unaongea bila evidence yoyote.. udini uko wapi sasa au ulitaka azam cola iitwe Yesu cola ndo ufurahie? Maana hata hiyo Azam media ipo chini ya utawala wa Tido Mhando na wafanyakazi wakristo wapo wengi tuu
 
Na bado.

Azam inakuja kwenye Biashara ya Mawasiliano. Ukipiga simu huduma kwa wateja unakaribishwa na Assalam Aleykum.

Waacheni waislamu wainuke sasa. Ni zamu yao. Wamebaniwa sana kimfumo tangu enzi za Mwalimu. Ukiwa upande wa 2 huwezi kuelewa.

Baada ya muda mambo yatabalansi yenyewe. Kwa sasa vumilieni tu.

Unajua maana ya asalam aleykum?? Hiko ni kiarabu tuu ni salamu iliyotumiwa mpka na yesu kuwasalimu wanafunzi wake!!.. Rudi darasani ndugu.. Leta facts za kuthibitisha huo udini sio mnaongea tuu
 
Unajua maana ya asalam aleykum?? Hiko ni kiarabu tuu ni salamu iliyotumiwa mpka na yesu kuwasalimu wanafunzi wake!!.. Rudi darasani ndugu.. Leta facts za kuthibitisha huo udini sio mnaongea tuu
Contextually, Assalam Aleikum inatumiwa na Waislam..

Wewe umesoma lakini hujaelimika!
 
Kwa ambao hamtaki aibu ndogo ndogo kma hizi karibu startimes,channeli kma zotee za nyumbani na za nje kibao kwa malipo ya buku nane tuu kwa mwezi
 
Mi nshalifutilia mbali kitamboo na kuhamia startimes,chukua maamuz magumu leo mkuu
Hawa wenzetu na udini huwezi kuwatenganisha. Hata hizi tamthilia zinalenga kueneza dini. Siku si nyingi ntafutilia mbali likingamuzi lao. Ngoja hii tamthilia ya suntan iishe maanA home hawatanielewa na baada ya hapo ntafanya maamuzi
 
Chuki hizi, Startimes ni Chinese company inafanya kazi worldwide yani Azam cha mtoto sana na si kisimbusi cha dini fulani.

Hata wanaosema Azam ni kisimbusi cha dini hawako sawa ila tatizo linakuja uwingi wa maudhui ya kidini ya kiislamu kwenye channel zisizo za kidini kama Azam two na ZBC zote.

Na tatizo jingine kisimbusi cha Azam kina music channels kama nne tu ajabu hii.
Channel za kidini zipo nyingi tu na zipo upande wa other channels.

TING ndio inamilikiwa na taasisi ya dini.
Hiii kitu mm ndo inaniboaa sana yaan mpk TBC sijui Safarii hii ingekuwa ni Channel ya Azam, hawajuii hata wateja wao wanataka nini...
Nilishawahii kufungua Uzi umu nikiwashauri Azam kwenda na Wakati...
SINEMA ZETU IWE NI YA KISASA TUONE SINEMA ZA EAST AFRICA MPYA SIO WALEWALE WAKINA JINGO SIJUI NA WAKINA NANI YAAN FILAM ZA 2015 NDO TUNAONESHWA LEO


Waanzishe channel za maudhii mbalimbali documentaries,history, watoto, movie za mbele, MUSIC..hapa ndo wamefeli kabsa yaan sijui kama wanavyosema wanajamvi UDINI kipindi wanafkria kuanzisha Azam sports HD mara sports 2 kwanini uwa awafkirii kuja na Channel ya MUSIC??....................

Taarifa ya habari tulishawasamehe basi iwepo channel ya habarii hata za nje basi km ilivo BBC na nyinginezo yaan ifke wakati mtu ukiwasha AZAM TV basi upate package ya CHANNEL kama hata 10 za azam....

Sasa wao ni Bukkede,Salt, cjui nini machannel yenyewe machafu yaan resolution mbayaa bora hata TBC.....
 
Ukitaka kufurahia machaneli ya muziki, reality shows, na documentary nunua Zuku hawana mpinzani katika hilo hata DSTV anagwaya ubaya wao sasa hawa machoko wanakata hadi TBC hawakuachii hata moja pale kifurushi chako kitakapoisha.

utabaki na radios na channels za kidini ikiwemo Top tv ya Ceaser masisi na channel za kamari. Ila kama ni mpenzi wa sports huku utachemka kuna Fox sports tu
Gharama za vifurushi vyao zipoje
 
Kwanza mnajuwa hii ni PRIVATE SATATION TV haifungamani na kikundi au Dini ya mtu yoyote kama una pesa zako unataka kurusha MATANGAZO LIVE. HATA YA KANISA JUST LIPIA UTARUSHIWA TU ,hizo mnazoziona za waislaam ni Vipindi vinavyo dhaminiwa na wadhamini wengine ni BAKHRESA CO. lts. Kwa hio kama kina ASAS WALIDHAMINI RAMADHAN CUP , na wakristo nao wadhamini KANISA CUP watarusha matangazo TATIZO ZA NCHIN HII WANAFIKIRIA NCHI HII NI MALI YA WAKRISTO , la hasha UKRISTO ULINGIA BAGAMOYO MIAKA 120 ILIOPITA JUST VERY SOON NA UISLAAM UKO AFRICA MASHARIKI KARIBU MIAKA 1000 Uliopita but still WAISLAAM HAWAJASEMA KAMA NCHI HII YA WAISLAAM PEKE YAO WANAJESHIMU DINI NYENGINE ZANZIBAR SULTAN ALITOA ARDHI PAJENGWE KANISA KWA MAPENZI YAKE MWENYEWE alikuwa na uwezo wa kukataa pia NA DAR ESSALAAM SEWA HAJI ALIJENGA HOSP LWA WATU WOTE HAJAJALI WAISLAAM AU WAKRISTO kwa hio propaganda zenu kwa TV AZAM hazina maana ,tokea MWALIMU NANI KAANZISHA KUONESHA LIVE PREMIER LIGI YA TANZANIA NA RUANDA KWENYE TV KILA MIKOA NANI KAMA SIO AZAM ,hata TBC na ITV NA STAR TV HAWANA UWEZO HUO , hakafu kumbuka mwenye TV STAR TV KWAYA NA MAHUBIRI YA KIKRISTO KILA WAKATI MBONA WAISLAAM
HAWASEMI NA PIA AZAM INA LIPIA CHANNEL ZA NJE KWA MIKATABA IKIWA SISI WENYEWE TCRA IAMWEKEA NGUMU AZAM WAZIRISHE HABARI PAMOJA KUFUNGIA LOCAL TV SABABU HATUJUI MAANA MBONA WAKATI WA KIKWETE CHANNEL ZOTE ZILIPITIANKWA KINGAMUZI HALUNA FREE DIGITAL TV KAMA ZAMANI UNAWEKA ARIEL UNAONA LEO UWE NA KINGAMUZI , sasa azam wakirusha TAMTHILIA ZA KITURUKI AU KIARABU INAWAHUSU NINI WATU WALALAMIKE
KUMBUKA MWENYE TV NIMUARABU NA MUISLAAM MNATAKA TAZAMENI HAMTAKI HAMJALAZIMISHWA ILA KIWEKA MISAA Za kikristo bila kulipia haiwezi kuoneshwa lazima ilipiwe kama
Za waislaam
Wanalipia
Umepiga msumari wa moto.Umemaliza mjadala.Umesema ukweli mtupu.
 
Acha upimbi huo hakuna anaelalamikia kuhusu wafanyaķazi kuwa wa upande fulani tu kama yupo basi ni mjinga kinacholalamikiwa hapa kuhusu maudhui ya vipindi vina udini kwa sasa
hao wagalatia unaosema wewe ndio waliokuja hapa kuisifia hiyo channel mwanzoni lakini sasa wanaona mambo ni tofauti udini umejaa azam
Enyi wagalatia,msio na akili,nani amewaloga?
 
Hawa jamaa ndio maana hata kwenye timu yao ya Azam wanafeli pamoja na uwekezaji wao kuwa mkubwa.

wana ingilia taaluma za wakurugenzi wao ndio maana wanaboronga.

Mtu kama Tido ni kichwa sana lakini hapewi nafasi afanye kazi yake vizuri.

ndio maana Wanapoteza mvuto kwa kujaza machanel yasiokua na kichwa wala miguu.
Naomba uizungumzie na PSG , wanakwama wapi pamoja na uwekezaji mkubwa wanaowekeza!
 
Back
Top Bottom