Azam Tv inapoteza mvuto

Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!! Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama! Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa! Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Vip local channel zipo??
 
Back
Top Bottom