Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,727
- 14,610
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!