Kwa muda mrefu Azam tv matangazo yake hayako sawa sawa, kuna mawingu au uchafu unaoziba picha zisionekano vizuri. Awali nilidhani tv yangu ni mbovu kumbe tatizo hili lipo kwa kila mtu anaetumia king'amuzi cha Azam.
Halafu niliona kuwa hili tatizo lipo Azam tu baada kufungua tv ya Zanzibar na kuona hali huko ni shwari kabisa.Uongozi wa Azam TV unapaswa kuangalia tatizo hili na kulipatia ufumbuzi. Wasingoje hadi raisi Maghufuli au Kikwete walalamike ndio waone kuwa kweli kuna tatizo.
Tatizo lipo na lina leta kero.