Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,627
Halafu usiongelee hao wafanya kazi wakubwa. Nenda huku chini ndicho nachozungumzia kipo utajionea.Kwani Tido Mhando naye ni Takbir?
Halafu usiongelee hao wafanya kazi wakubwa. Nenda huku chini ndicho nachozungumzia kipo utajionea.Kwani Tido Mhando naye ni Takbir?
Mzee kwani hakuna sehemu ambayo watu wanapigana kisa dini!? Mapigano hayakwepeki, yawe ya ukabila, udini, utawala na kadhalika, sasa sisi kwetu ukabila ni kidogo mnoo kulinganisha na udini, naliona humu jf, utakuta watu mpaka wanakashfiana kisa dini..Dunia ya leo watu waache kutafuta pesa waanze kugombana kisa maswala ya Imani hiyo ngumu sana. Maisha yameshakuwa ya tofauti sana.
Anyways why unaongea kama upo 100% assured ya kitu unachosema?!
Mimi nimeongea baada ya kutafiti na kujionea like i know what am saying.
Labda, nisipinge kitu nisichokijua kwa 100% inawezekana ukawa upo sahihi pia.Ukiona hao uliowataja wako hapo basi ujue ametafutwa mtu anaevaa kubazi na bagalashia amekosekana,hao wako hapo ila wasaidizi wao wote ni kubazi tupu!! Kuna ubaguzi sana hapo kwa mpemba.
Labda ratio haijabalanceKuna Baraka Mpenja
Patrick Nyembera
Charles Hilary
Ivona Kamuntu
Mkuu , hawa jamaa wanasumu nyoyoni mwao za chuki dhidi ya SSB & Company.
Ila management haina shida kabisa ipo Well balanced na kuajiri quality people.
Hayo ni mawazo yako na nakuonea huruma sana kama mwaka 2021 unaingia na hizo perceptions za Victim wa imani.Waislamu tunaonewa sana nchi hii,tunaonekana kama hatustahili chochote kizuri.mlitunyima elimu kipindi kile wazee wetu wakakimbilia biashara na masokoni lakini bado tukifanikiwa na huku mnaona hatustahili
Janga la ushoga halina uhusiano na taasisi za kiimani bali ni swala la kimaadili.Uislam hauna muda wa kukaa na kujadili ushoga uruhusiwe ama usiruhusiwe, jibu ni moja tu kwa uislam ushoga ni NO!, Ila kuna dini kabisa zinakaa kujadili hili kama uruhusiwe ama la
Kabisa....Nasikitika uzi wangu ushageuzwa wa kidini , lengo langu halikuwa hilo kabisa yaani !
Aisee naomba ujifunze kuongea kwa heshima na kwa kutumia utulivu wa akili na hekima.Comment ya kwanza kabisa baada ya mada yako ililenga huko, ungeiripoti mods wangefanya yao, umeiacha ndio matokeo yake hayo. watu wanailalamikia uhai media kwa udini wanasahau kuwa top mgt ni wagalatia watupu
Akina nani unaomaanisha maana naona unaanza kuongea kwa mafumbo as if umenielewa na mimi naona umepotoka tu na ulichojielewesha ndugu....?!Labda hao wanaopendelewa ndio wamemletea neema ya kumfanya Bakhressa na kampuni zake kuwa bilionea mkubwa East en Central África na inasemekana ndio alianza nao toka akiwa na ka-bakery cha mikate
Ilhali huku Serikalini wanaopendelewa ndio wamedhoofisha nchi iwe kwenye mkwamo wa kimaendeleo, ufisadi na uhujumu miaka na miaka
Nadhani bado haujaelewa kabisa nilichomaanisha. Sikupingi hiyo experience uliyopitia na ningekuwa nipo katika mjadala wa maswala ya dini ningekuunga mkono au kikukanusha.Mzee kwani hakuna sehemu ambayo watu wanapigana kisa dini!? Mapigano hayakwepeki, yawe ya ukabila, udini, utawala na kadhalika, sasa sisi kwetu ukabila ni kidogo mnoo kulinganisha na udini, naliona humu jf, utakuta watu mpaka wanakashfiana kisa dini..
Nazungumza hili sababu nimeliona, mie azam nimeenda na project yangu pale, nikakutana na yeye patrick kahemele, jamaa kutizama hivi, akaikubali idea changamoto ilikuwa katika hakimiliki ya baadhi ya vitu vitu, akawa anahitajika na bosi wake kuna kikao cha dharura, akaniambia idea iko moto hili suala la hakimiliki tutaangalia jinsi ya kufanya fanya, ikabidi anirushe kwa msaidizi wa zakazakazi ambae ni muislam mwenzangu, huwezi amini yeye ndio akanipinga, kwanza itakuwa gharama, sijui kimeenda kimerudi, mzee mengine hayaelezeki, lau kama ingekuwa ni udini basi ningepata kazi chap sababu huyo kiongozi kaelewa mzigo, ila msaidizi tena muislam mwenzangu akabana, kwanin asingenifnyia wepesi nami muislam mwenzie!?
Pale mapokezi kuna mabinti nilikuta nahisi si waislam.. kama ingekuwa udini kuna baadhi ya wafanyakazi wasingekuwepo.. sauti ya radi mpenja, jina kalipatiabwapi si pale pale mzee au?
Labda unajua zaidi.. ila tuache udini, sumu yake inasambaa vibaya mnoo.
Kama hujanielewa ruksa kuuliza, umeona niliyemquote alichoandika?Janga la ushoga halina uhusiano na taasisi za kiimani bali ni swala la kimaadili.
Sasa inaweza kuwa misikiti viongozi ni wakali ila ni vitu mabavyo vinatokea kwanye jamii iliyowazunguka ila watu wa imani hiyo hiyo.
So nadhani hamisha akili yako usiwe unajadili sana dini bali tazama zaidi jamii yako nje ya imani au dini utaona picha kubwa. Watu waimani tofauti wanapofikwa na janga ina maana imani yako ni next.
So make efforts kukemea sio kuchekelea
Sijui kama ulielewaje , lakini kwa 98% ZBC 2 ni channel ya dini na tena ni ya mashehe , na mara nyingi ni ya mambo yanayofanyika msikiti wa Mtoro , na mara chache mashehe wcengine , kwahiyo kwa hapa sijadanganya , Bali hoja yangu hapa ni kwamba unapoweka mpira kwenye channel kama hii ni vizuri ukapiga promo ili sisi wadau tujue kwamba game iko ZBC2 , huwezi tu kuamua kuweka game kwenye TV Upendo kwa mfano ukataka tuotee tu wakati tunafahamu miezi yote kwamba TV upendo ni uwanja c kwaya .Yani unasema ZBC2 ni chanel ya misikiti halafu unasema lengo lako halikuwa dini au ulidhani usingelisema ZBC2 ni chaneli ya misikiti uzi wako usingelieleweka?
Umeruka ruka weee mwishiwe umenasa, sasa naanza kukutajia wabara na wewe walete waznz, Tido Mhando, Charles Hilal, Patrick Nyembela, Ivona Kamuntu, mzee list itaendelea hadi uchoke, ulikuwa huna lolote zaidi ya chuki za kidini tuAzam kwenye mambo yake mengi inapokuja swala la kutoa ajira amekuwa analenga sana watu wa Tanzania visiwani yaani Zanzibar na pia kutokana na mtindo huo wale wadau wanajenga sana akili za udini yaani vetting zao wanatazama sana udini utadhani wanakwenda kufanya ibada.
We kenge kumbe mambo ya dini uliyaanza mwenyewe acha yakurudieHili ni tatizo la muda mrefu la Azam TV, hawana mabingwa wa promotion , huwezi kujua mechi inayochezwa hadi uingie kwenye channel ya soka , kwa mfano hakuna matangazo yoyote kwenye channel zao yanayoonyesha kwamba kuna ligi ya ufaransa , wala haijulikani game gani inaonyeshwa na channel fulani.
Wako duni mno kwenye eneo hili na wanaachwa nyuma kabisa na DSTV ambao hata channel ya sinema inakueleza gemu gani iko channel gani tarehe ngapi , yaani hawa Azam wanataka tuotee tu , wale wanaoangalia sinema zetu wala hakuna tangazo lolote linaloonyesha kama channel fulani inaonyesha game fulani ! wala hata mkanda unaotembea kama wafanyavyo super sports , haya ni maajabu ! na ni aibu kwa wahusika.
Biashara yoyote ni matangazo , Kwani kuna ugumu gani kutembeza hata mkanda wa maandishi kwenye kila channel yenu kuonyesha mechi fulani itachezwa tarehe fulani na itaonyeshwa kwenye channel fulani?
Kwa mfano, unaweka mechi kisirisiri kwenye ZBC2 huku ukijua hiyo ni channel ya misikiti unadhani ni nani atajua kuna gemu huko ? Kama lengo lenu ni kutufanya tuangalie hizo mechi basi ni lazima mtutangazie Mechi gani iko channel gani na ni saa ngapi , iwe EPL , BUNDESLIGA, CARABAO, NBC, YA KIRAFIKI AU YOYOTE.
Acheni kuzifanya mechi za soka kuwa siri yenu.
utakuwa na uwezo mdogo sana wa kuelewaWe kenge kumbe mambo ya dini uliyaanza mwenyewe acha yakurudie
Bila kutaja channel ya msikiti ujumbe wako usingefika? Ulishaelezwa uhai tv wanarusha hicho unachokitaka wewe, pia uzi wako ulipaswa kushauri kabla hujafika huko kutoa shutuma, ungeona hujasikilizwa ndio ungeshutumu
Wapi nimeshutumu ?Bila kutaja channel ya msikiti ujumbe wako usingefika? Ulishaelezwa uhai tv wanarusha hicho unachokitaka wewe, pia uzi wako ulipaswa kushauri kabla hujafika huko kutoa shutuma, ungeona hujasikilizwa ndio ungeshutumu
Kusema washafeli sio shutuma hizo?Wapi nimeshutumu ?
Umesema j2 sasa hiyo ni muda woteHivi mbona channel zote siku ya j'pili huwa zinageuka kuwa makanisa na hakuna lawama?
Mashabiki wa ushoga mna tabu