KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Mimi ni mteja wenu mwaminifu tangu mwaka 2014, kilichonisikitisha mpaka kuwafingulia uzi uku JamiiForums ni tangazo ambalo nimelipokea jana likinijulisha kuhusu mwisho wa kifurushi changu cha mwezi wa pili.
Niwarejeshe nyuma kidogo, mimi nililipa kifurushi tarehe 01/02/2021 nimeshangazwa na kupokea ujumbe unaonitaka nilipie kifurushi tena 28/02/2021
Nikajaribu kuwaulizaa kuhusu utaratibu wao, swali langu likaegemea kutaka kufaham kama wao wanazingatia idadi ya siku au miezi majibu niliyopewaa sikuridhika nayo kabisa.
Nimejibiwa kuwa kwan huu mwezi una siku ngapi.