Azam Tv acheni wizi...

KASULI

Senior Member
Aug 6, 2020
167
500
Mimi ni mteja wenu mwaminifu tangu mwaka 2014, kilichonisikitisha mpaka kuwafingulia uzi uku JamiiForums ni tangazo ambalo nimelipokea jana likinijulisha kuhusu mwisho wa kifurushi changu cha mwezi wa pili.

Niwarejeshe nyuma kidogo, mimi nililipa kifurushi tarehe 01/02/2021 nimeshangazwa na kupokea ujumbe unaonitaka nilipie kifurushi tena 28/02/2021

Nikajaribu kuwaulizaa kuhusu utaratibu wao, swali langu likaegemea kutaka kufaham kama wao wanazingatia idadi ya siku au miezi majibu niliyopewaa sikuridhika nayo kabisa.

Nimejibiwa kuwa kwan huu mwezi una siku ngapi.
Screenshot_20210228-204219_Lite.jpg
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,613
2,000
Mimi ni mteja wenu mwaminifu tangu mwaka 2014, kilichonisikitisha mpaka kuwafingulia uzi uku Jamii forum ni tangazo ambalo nimelipokea jana likinijulisha kuhusu mwisho wa kifurushi changu cha mwezi wa pili...

Niwarejeshe nyuma kidogo, mimi nililipa kifurushi tarehe 01/02/2021 nimeshangazwa na kupokea ujumbe unaonitaka nilipie kifurushi tena 28/02/2021

Nikajaribu kuwaulizaa kuhusu utaratibu wao, swali langu likaegemea kutaka kufaham kama wao wanazingatia idadi ya siku au miezi majibu niliyopewaa sikuridhika nayo kabisa....

Nimejibiwa kuwa kwan huu mwezi una siku ngapi.....
View attachment 1714226

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kumrithi J Ndugai?
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,548
2,000
Mimi ni mteja wenu mwaminifu tangu mwaka 2014, kilichonisikitisha mpaka kuwafingulia uzi uku Jamii forum ni tangazo ambalo nimelipokea jana likinijulisha kuhusu mwisho wa kifurushi changu cha mwezi wa pili...

Niwarejeshe nyuma kidogo, mimi nililipa kifurushi tarehe 01/02/2021 nimeshangazwa na kupokea ujumbe unaonitaka nilipie kifurushi tena 28/02/2021

Nikajaribu kuwaulizaa kuhusu utaratibu wao, swali langu likaegemea kutaka kufaham kama wao wanazingatia idadi ya siku au miezi majibu niliyopewaa sikuridhika nayo kabisa....

Nimejibiwa kuwa kwan huu mwezi una siku ngapi.....
View attachment 1714226

Sent using Jamii Forums mobile app
We ulitaka utumie mpaka lini wakati umeambiwa ni vifurushi vya mwezi.ina maana ukijiunga tarehe 1 mwezi wa 2 basi kifurushi chako kinatakiwa kiwe kimekwisha tarehe 1 mwezi wa 3.hapo unakuwa umekamilisha mwezi 1.

Mbona mshahara umechukua tayari na ujasema kuwa siku hazijatimia kwenye mwezi 1.kama umeshindwa kulipa basi tuma namba ya kadi tukulipie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom