Azam telecom ni fire 🔥 tigo byee byee

Wananzaga hivyo hivyo ila wape muda utajionea tu.
Hii itakuwa kama Halotel,mwanzoni walianza na ma GB ya kumwaga,walipoona tumekuwa wengi GB zikawa zile zile kwa speed ya kobe,wiki inaisha GB bado ziko kibao,halafu wanasubiria imebakia siku 1 wwnaongeza speed ili kukuhamasisha...
 
Umetushtua mwana viroho juu juu kidogo nisafiri kesho kuifuata laini ya azam Dar... asante watu kutoka jamhuri ya Twitter kwa kutuweka sawa
 
Promotion..., na hizi tozo ni muda tu watakaribiana na wenzao..., cha muhimu ni kama quality ya hizo Bundle ni Nzuri
 
Yaani hiyo sms ya vifurushi ni editing ila wabongo hawajang'amua kuna sehemu kuna shida katika vichwa vyetu😂😂
 
Back
Top Bottom